Mazishi ya Malkia Elizabeth 11 wa Uingereza...hawa ndio walipewa mialiko rasmi kuhudhuria!

Mag3

Platinum Member
May 31, 2008
12,710
22,021
Naomba kuchukua nafasi hii kutoa ufafanuzi wangu binafsi kuhusu utata uliojitokeza kuhusu mazishi ya Malkia wa Uingereza Queen Elizabeth 11 siku ya leo!

Wapo viongozi walioalikwa rasmi kuhudhuria mazishi hayo na wapo walioalikwa jumla jumla kwa kuhudhuria kama viongozi wa nchi za Jumuiya ya Madola.

Hii ni sawa na kuwaalika rasmi watu kuhudhuria harusi yako na hapo hapo kuwakaribisha ndugu zako wa karibu jumla jumla kuwa nao wanaweza ku jumuika nanyi

Kwa uelewa wangu waliopewa rasmi barua za mwaliko ni hawa...

Walioalikwa rasmi kuhudhuria mazishi.jpg

Katika hii orodha aliyealikwa rasmi kuhudhuria hayo mazishi kutoka Afrika ni Kiongozi wa Jamhuri ya Afrika Kusini Rais Cyril Ramaphosa.

Viongozi wengine waliotoka sehemu mbali mbali duniani wapo walioalikwa jumla jumla kama viongozi wa nchi wanachama wa Commonwealth.

Hivyo haishangazi kuona wakipewa huduma za jumla jumla kama ilivyotokea kwa baadhi yao kupewa huduma ya usafiri wa pamoja wa mabasi.

Kama nitakuwa nimepotosha kwa namna yoyote nia na madhumuni ya mialiko hiyo natanguliza samahani kwa viongozi na wananchi wa nchi husika.
 
Jbst

JF-Expert Member
Nov 29, 2020
698
1,340
Naomba kuchukua nafasi hii kutoa ufafanuzi wangu binafsi kuhusu utata uliojitokeza kuhusu mazishi ya Malkia wa Uingereza Queen Elizabeth 11 siku ya leo!

Wapo viongozi walioalikwa rasmi kuhudhuria mazishi hayo na wapo walioalikwa jumla jumla kwa kuhudhuria kama viongozi wa nchi za Jumuiya ya Madola.

Hii ni sawa na kuwaalika rasmi watu kuhudhuria harusi yako na hapo hapo kuwakaribisha ndugu zako wa karibu jumla jumla kuwa nao wanaweza ku jumuika nanyi

Kwa uelewa wangu waliopewa rasmi barua za mwaliko ni hawa...

View attachment 2361809

Aibu tunajipendekeza mno
 
denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
13,015
49,572
Bado sijaelewa vizuri lengo la mada yako, unataka kumaanisha ukipewa mualiko rasmi ndio ukifika huko unaruhusiwa kutembea na usafiri wako, na ukialikwa jumla jumla unapandishwa basi?

Navyojua kwenye mialiko ya harusi uliyotolea mfano, licha ya mualiko radmi kupewa kadi, lakini hata wale ndugu huchangamana na rasmi kwenye tukio.
 
Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
49,997
36,309

Maana yake wengine walidandia mtumbwi wa kibwengo...hawakualikwa
 
Mag3

Platinum Member
May 31, 2008
12,710
22,021
Bado sijaelewa vizuri lengo la mada yako, unataka kumaanisha ukipewa mualiko rasmi ndio ukifika huko unaruhusiwa kutembea na usafiri wako, na ukialikwa jumla jumla unapandishwa basi?

Navyojua kwenye mialiko ya harusi uliyotolea mfano, licha ya mualiko radmi kupewa kadi, lakini hata wale ndugu huchangamana na rasmi kwenye tukio.
Yaani wewe unayehudhuria harusi kama ndugu tu unataka ukae meza kuu pamoja na walialikwa rasmi, hii uliona wapi ndugu yangu. Unataka upokelewe kama mgeni nyumbani kwenu, mbona unatisha!

Mbona wapo wengi tu hawakwenda kwa kutopokea rasmi mwaliko!
 
Mag3

Platinum Member
May 31, 2008
12,710
22,021
Swali hapa ni moja Tu...Ramaphosa hakupandishwa basi?alikuwa na msafara wake peke yake?
Aliungana na wenzake, hakuwa na msafara wa peke yake lakini yeye hata huko nyumbani kwao hatembei na misafara mirefu ya magari kama wenzake. Kwa nini hawa wenzake walilazimika kwenda bila kualikwa rasmi?
 
The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
44,821
94,334
Aliungana na wenzake, hakuwa na msafara wa peke yake lakini yeye hata huko nyumbani kwao hatembei na misafara mirefu ya magari kama wenzake. Kwa nini hawa wenzake walilazimika kwenda bila kualikwa rasmi?

Hakuna alie enda bila kualikwa ndo maana Putin hakwenda..hao wote walialikwa
 
Mag3

Platinum Member
May 31, 2008
12,710
22,021
Hakuna alie enda bila kualikwa ndo maana Putin hakwenda..hao wote walialikwa
Bila shaka unajua kabisa Rais wa nchi anaalikwaje! Je unajua Cyril Ramaphosa alialikwaje au na hapo unataka ufafanuzi?

1663611497834.png

Si afadhali huyu aliwahi hata kukutana na Malkia mwenyewe akiwa hai! Wengine walienda huko bila hata kukutana naye kwa bahati mbaya.
 
Mpanda nyangobe

JF-Expert Member
Apr 30, 2015
581
1,188
Yaani viongozi wa Africa wamepokelewa na kuwekwa kwenye daladala ....lakini wakija huku misafara ya hatari..sijui huwa wanatuchukuliaje Hawa viongozi wetu...Ningekuwa Mimi ndio rais ,siku nageuza home ningeshuka airport Kisha nikapanda daladala la airport--gongolamboto.. kubalance mambo
 
Bufa

JF-Expert Member
Mar 31, 2012
8,110
13,137
Naomba kuchukua nafasi hii kutoa ufafanuzi wangu binafsi kuhusu utata uliojitokeza kuhusu mazishi ya Malkia wa Uingereza Queen Elizabeth 11 siku ya leo!

Wapo viongozi walioalikwa rasmi kuhudhuria mazishi hayo na wapo walioalikwa jumla jumla kwa kuhudhuria kama viongozi wa nchi za Jumuiya ya Madola.

Hii ni sawa na kuwaalika rasmi watu kuhudhuria harusi yako na hapo hapo kuwakaribisha ndugu zako wa karibu jumla jumla kuwa nao wanaweza ku jumuika nanyi

Kwa uelewa wangu waliopewa rasmi barua za mwaliko ni hawa...

View attachment 2361809
Katika hii orodha aliyealikwa rasmi kuhudhuria hayo mazishi kutoka Afrika ni Kiongozi wa Jamhuri ya Afrika Kusini Rais Cyril Ramaphosa.

Viongozi wengine waliotoka sehemu mbali mbali duniani wapo walioalikwa jumla jumla kama viongozi wa nchi wanachama wa Commonwealth.

Hivyo haishangazi kuona wakipewa huduma za jumla jumla kama ilivyotokea kwa baadhi yao kupewa huduma ya usafiri wa pamoja wa mabasi.

Kama nitakuwa nimepotosha kwa namna yoyote nia na madhumuni ya mialiko hiyo natanguliza samahani kwa viongozi na wananchi wa nchi husika.

Source: Trust me bro
 
luckyline

JF-Expert Member
Aug 29, 2014
14,001
17,937
Kuwa kiongozi nako kazi, huku kwetu tukisikia mtu kafa tunaenda zetu bila mwaliko.

mida ya chakula ndo tunafikaga tunakula tunazika tunarudi home kuwasimulia mapungufu ya mareheme wale ambao hawakwenda kuzika.

Maongezi yenyewe yanakuwa hivi:

Hivi mmeona marehemu alivyozikwa kama mkimbizi? Majigambo yote sasa hana lolote.

Afu alivyokuwa akizaa zaa ovyo kama umbwa. vile vitoto viwili uliviona? Ni vya mchepuko ndo maana havijatambulishwa

Aiiiiiiiiii, nyumba gani ile anavyotambaga bar? Alitakiwa kuwa na gorofa

Mke wake bado mdogo lazima aolewe
Huyu dada nae aliolewaje na zee vile, mmh ila kamwachia vijipesa na. mashamba

Afu mbona mke wa marehemu alikuwa analia kinafiki? Au kamuua?.

Africa oyeeeee😅😅😅
 
Similar Discussions

10 Reactions
Reply
Top Bottom