Mazishi ya JOHN STEPHANO MAGANGA, ANGALIA PICHA HIZI KISHA UTAJAZA MWENYEWE

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
HIZI ni picha 16 miongoni mwa picha nyingi zinazoonyesha jinsi mazishi ya John Stephano Maganga yalivyofanyika leo mchana kwenye makaburi ya Kinonndoni.

Katika picha hizi utashuhudia matukio tofauti na namna watu walivyosindikiza John Maganga, wengine wakionekana kweli msiba umewafika, wengine kama wako kijiweni na wengine kama wako kwenye sherehe fulani. Zitazame kwa makini labda na wewe utagundua kitu fulani.
aa1.jpg


aa2.jpg

aa3.jpg

aa4.jpg

aa5.jpg

aa6.jpg

aa7.jpg

aa8.jpg

aa9.jpg

aa10.jpg

aa11.jpg

aa12.jpg

aa13.jpg

aa14.jpg

aa15.jpg

aa16.jpg















 
Tuache kutumia starehe hadi kwenye misiba. yaani kumzika mtu inakuwa kama vile show off . kwenye kilio ndo wakati wa kumkumbuka mungu zaidi na si wakati wakuoneshehana UWEZO WA PESA kwa jeneza kali, Kuvaa masuti wakati wa mazishi, kuvaa kanga plus night dress. BINADAMU WOTE NI SAWA MBELE YA MUNGU NA KILA NAFSI ITAONJA MAUTI.
 
ol i can say ni MUNGU AMSAMEHE MAKOSA YAKE, AMPE FURAHA NA AMANI AMBAYO KILA NAFSI HUTAMANI BAADA YA KUFA! amen!
 
Lumole anaonekana kweli yuko msibani. Pole sana Big. Wengine wanacheka ni aibu kwenda msibani kucheka pale ni sehemu ya huzuni na kilio na wala sio eneo la fashion au hair show! RIP JOHN MAGANGA.
 
kikwete katoa rambirambi milioni ngapi? je alikuwepo kwenye msiba au je ataenda kwenye msiba wa sharo..
 
mi ndo maana kila siku nasema hawa wasanii wetu naona kidogo bado awajajua usanii ni nini ata sehemu za msiba wenyewe wanafanya usanii ngoja tusubili na uko tanga tuone
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom