Mazingira yetu 1 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mazingira yetu 1

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Fundi Mchundo, Nov 27, 2007.

 1. F

  Fundi Mchundo JF-Expert Member

  #1
  Nov 27, 2007
  Joined: Nov 9, 2007
  Messages: 4,705
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Hii ripoti ni ya zamani kidogo lakini nadhani bado ina umuhimu hasa ukizingatia kuwa tuko mbioni kuongeza mahoteli na kujenga uwanja wa ndege katika sehemu hii nyeti. Pingamizi za wana mazingira zimetupwa mbali, tukisisitiza uongezaji wa mapato! Hivi tutafika kweli?
   
 2. F

  Fundi Mchundo JF-Expert Member

  #2
  Nov 27, 2007
  Joined: Nov 9, 2007
  Messages: 4,705
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Hii ni ni ya hivi karibuni! Bado tunabisha! Tutafika kweli?
   
 3. F

  Fundi Mchundo JF-Expert Member

  #3
  Nov 27, 2007
  Joined: Nov 9, 2007
  Messages: 4,705
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Na wengine walisema haya mwaka jana, tukapuuzia.
   
 4. A

  Agao Kichore Member

  #4
  Nov 28, 2007
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 89
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Normally the Government top leaders do not listen to anything that will detriment their interest especially after they made a promise to investors to influence investment decision.

  I dont't think if environmists will conquer the JK to turn down decision to invest in Serengeti.

  We have witnessed him taking step on the issue by meeting US tycoon whom believed to be one of the investors in one of this precious area in the World.

  The solution is to insist to our opposition leaders to take the facts from researchers to become a base of making the matter a political saga and make it to general public to unite our against the project. Dr Slaa and other leaders bring the issue to Jangwani. We have seen it working on Buzwagi, BOT.
   
 5. F

  Fundi Mchundo JF-Expert Member

  #5
  Nov 29, 2007
  Joined: Nov 9, 2007
  Messages: 4,705
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  I agree with you but I feel that the problem lies with us, the members of public, for whom the issue of the environment is not seen as one to merit our attention. I opened this thread here just to see whether those fellow members who are so vocal and concerned about national issues would deign to visit it. None have, except for you. We are too concerned with politics, petty or otherwise, that we don't see the fire burning around us. No wonder the foremost profession, if one could call it that, is politics. We are all politician wanna-bes. Unfortunately, the politicians also are really not interested in environmental issue. Dr Slaa together with the PM supported the soda ash processing plant on Lake Natron despite all protestations from environments pointing out the long term adverse effects on its flamingos (see: http://allafrica.com/stories/200711060801.html)
  I thank the administrators who have shown their concern by keeping this post alive despite its sell-by having long passed! Thanks whoever you are.
   
 6. F

  Fundi Mchundo JF-Expert Member

  #6
  Nov 29, 2007
  Joined: Nov 9, 2007
  Messages: 4,705
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Factory Could Disrupt Flamingo Breeding on East African Lake
  For the lates on this issue see http://allafrica.com/stories/200711060801.html

  Nilianzisha thread kama hii upande wa hoja muhimu lakini naona wengi wetu hawatembelei huko. Suala la mazingira ni muhimu sana kwa sababu ni rasilimali ambayo ni vigumu sana kuirudisha pale utakapoipoteza. Katika huu wakati ambapo tunafukuzia maendeleo kwa udi na uvumba ni muhimu sana kuwa ni lazima tuangalie gharama halisi kwetu sisi na vizazi vijayo ambavyo sisi ni custodian wao. Wawekezezaji hawana uchungu na mazingira yetu maana wao ni watafutaji tuu. Haya tuna jenga mahoteli, kiwanja cha ndege Serengeti( angalia thread Mazingira 1 kwenye Hoja Nzito) bila kujali kwamba kwa kufanya hivyo hao wanyama tunawaharibia mazingira yanayowawezesha kuwepo. Tunajenga kiwanda kwenye L. Natron bila kujali athari yake kwa hao ndege ambao ni kivutio kikubwa si kwa watalii tuu hata na sisi wenyewe. Tuliwashangaa wenzetu kwa juhudi kubwa waliochukua kunusuru uhai wa vyura wa Kihansi. Hapo tutakapoanza kuwapeleka watoto na wajukuu wetu Botswana, Afrika Kusini(Leo tunaletewa vifaru kutoka Afrika Kusini) na, naam, hata ulaya kuangalia viumbe ambavyo kwa kiburi na uroho wetu tumeviangamiza hapa kwetu ndipo pengine tutaamka. Na tutawaambia nini watakapotuuliza tulivipeleka wapi viumbe vyetu?
   
 7. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #7
  Nov 30, 2007
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Tatizo la Mazingira yetu halipo kwa viongozi pekee, hata wananchi wa kawaida suala la utunzaji wa mazingira lipo mbali sana nao. Hii inapelekea kuwepo na ugumu fulani katika kufikisha ujumbe wa kimazingira. Wananchi wengi bado wanategemea kuhalibu mazingira ili waweze kupata nishati(utumiaji wa mkaa).
  Hivyo kuna kazi kubwa ya kufahamisha wananchi umuhimu wa utunzaji wa mazingira na athari za uhalibufu wa mazingira.
   
 8. F

  Fundi Mchundo JF-Expert Member

  #8
  Nov 30, 2007
  Joined: Nov 9, 2007
  Messages: 4,705
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Ndiyo, Ndugu Kibunango. Apathy iko hata kwetu sisi tunaojiona kuwa ni wasomi. Wote tumejazana kwenye jukwaa la siasa! Hao wananchi siwalaumu. Ni sis ambao tunapandisha bei za nishati mbadala bila kuangalia uwezo wa jamii zetu. Tukiambiwa, tunakuja juu. Halafu tunashangaa wananchi wanapo haribu vyanzo vya mito za kupelekea upungufu wa maji katika mabwawa yetu! Leo sijui kama kuna maandalizi yeyote ya siku ambapo ile theruji ilito kwenye mlima Kilimanjaro itapoondoka katika miaka ya hivi karibuni. Huo mlima ambao tunajivunia kwa sasa tutaendelea kujivunia utakapokuwa kipara!! Tatizo letu tunapenda vya haraka haraka bila kutoka jasho. Lakini kwa vile sisi wasomi tuko mguu moja ndani na mwingine nje sidhani kama hii inatusumbua maana pa kukimbilia tunapo!
   
 9. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #9
  Dec 2, 2007
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Usomi unaweza kuwa ni moja ya sababu, Nianavyo mimi ni mfumo mzima wa utawala ambao umechangia na utaendelea kuchangia kuwepo na uharibifu wa mazingira.

  Hebu angalia tatizo la ujenzi holela, hili limetokana na sera mbovu za ugawaji wa ardhi, urasimu, rushwa na ongezeko la kasi ya majitaji ya ardhi kutokana na ongezeko la watu. Vyombo husika vimeshindwa kukidhi mahitaji ya wananchi, hivyo wananchi wameamua kuvamia ardhi na kujenga pasipo kuafuata taratibu za mipango ya miji na ujenzi. Hii ni mojawapo ya njia za uhalibifu wa mazingira. Lakini nani wa kulaumiwa hapa?

  Nishati mbadala ambazo zimekuwa zikitangazwa na watalaamu wetu, zimekuwa ni za gharama kubwa kulinganisha na uwezo wa wananchi wengi, hivyo kuondoa hata hiyo maana ya kuitwa nishati mbadala. Iwapo tunataka kupunguza tatizo la kukata miti ovyo kwa ajili ya nishati, hatuna budi kuja na nishati mbadala ambayo wananchi wote watakuwa na uwezo wa kuitumia.

  Pamoja na yote hayo suala la mazingira lipo ndani ya wananchi wenyewe. Inapotokea athari zikaenda mojakwa moja kwao ndio wakati wao wa kutambua umuhimu wa mazingira. Matatizo mara nyingi husababisha jamii kutafuta uvumbuzi wake. Mfano ni matatizo ya ujenzi holela katika kitongoji cha Hanana sif, Dar es salaam. Baada ya wananchi kusumbuliwa kwa muda mrefu na mafuriko na magonjwa yatokanayo na mafuriko wao wenyewe waliamua kutengeneza miundo mbinu katika kitongoji chao.
   
 10. Mulama

  Mulama JF-Expert Member

  #10
  Nov 7, 2013
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 2,458
  Likes Received: 710
  Trophy Points: 280
  I saw your Article while reading similar article posted by Lumange recently. In my response to that article I highlighted the gape among ourselves being source of all malfunctioning of environmental protections, for instance how many environmental professionals in this forum? who have at any time contributed to post let alone bringing a post in regard to environmental issues? the answer is no except you Mchundo and may be few other!

  I normally wonder why blaming investors for polluting our environment instead of blaming regulatory organs such as Ministry for Environment under the Vice President's Office and its Council NEMC! these are the ones sabotaging all efforts of ensuring no vandalism for our environment, they are mandated not only with laws and policy of our country but also with international conventions, treaty and protocols! Unfortunately they are custodian of these authorities for their personal gains. What we should understand here is that, no any single investor will be concerned with degradation of our environment, I say no one, these people are here to make money once they have done they will go back to their piece of haven countries. It is our duty to find/ formulate pressurizing tool/organ that will stand and protest vehemently against ruining our heritages our environment, we should not relay on politicians who proved to be "wachumia tumbo" already they can't help any more.

  We understand that there is major conflict between economic growth v/s environmental protections, but let us weigh which should outweigh other, to me being in clean safe and free from pollution environment is of paramount important than economic growth seen through politician speeches.
   
Loading...