Mazingira yanatujua zaidi ya tunavyoyajua...

KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
26,203
56,829
Mazingira ni nini..?
Ni vitu vyote vinavyomzunguka mwanadamu kama miti,mawe,ardhi n.k.

Kwanini nimesema mazingira yanatujua zaidi ya tunavyoyajua..?
Coz kila tunachotaka ktk mazingira tunapata kama hewa,chakula,dawa,maji na mambo mengine.
Mazingira ndio mzazi wetu maana tunapata tunachohitaji,hivyo sijui niseme mazingira yanaufahamu... Me i do no!!
Binadamu amekuwa ni kiumbe chenye ufahamu mkubwa kati ya viumbe waishio duniani,lkn binadamu ndio amekuwa kiumbe mharibifu wa mazingira no.1,huku akijua dhahiri kuwa baadae itakuwa tabu sasa sijui niseme ni ukilaza Me i do no..:(:(

kumekuwa na sintofahamu ya mwanzo wa viumbe, mijadala imeibuliwa lkn majibu holaaaa..
nachozani mimi mazingira yanajua kuhusu hili ila kuligundua ndio bado.

ningependa nieleweke hivi, mazingira yanatufahamu hasa ya hapa duniani.. ndio maana hata hao wanasayansi wakienda anga za juu wanaakikisha wanatoka na mazingira ya duniani kama kwenda na hewa pamoja na msosi.
mwisho namalizia kwa kusema"tunayaitaji mazingira zaidi yanavyotuitaji"
 
Thibitisha kauli yako kwanza mimi naona mazingira yanatuhitaji viumbe hai kuliko sisi
nasemea kwa binadamu tu sio viumbe vyote.
mazingira yanaweza kujiendesha yenyewe hata asipokuwepo mwanadamu mfano kwenye misitu, lkn binadamu anategemea mazingira ili aendelee kuishi.
i think you get me
 
Back
Top Bottom