Mazingira ya usomaji katika chuo cha NIT yapo vipi?

mind bringer

Senior Member
Oct 19, 2017
170
51
Wataalam hv hadi sasa chuo cha NIT hakijaweka mazingora mazur ya usomaji au watu wanachuki binafsi na chuo hicho tuapene taarifa za hicho chuo upande wa mazingra ya kusoma.
 
Mazingira mazuri ya kusoma unayazungumzia yapi mkuu?

Hebu eleza kwa makini au story za mtandaoni zimekutisha.
 
Upande wa mazingira ni mabovu mnooo, elimu bora pale ni udereva tu izo zingine ni tangulia mbele tu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom