NOT ENOUGH
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 596
- 307
Poleni na majukumu wapendwa. Binti yangu kachaguliwa kujiunga na St Marian Girls High School kwa combination ya HGE.
Anatakiwa kuwasili shuleni tarehe 8th Feb kwa ajili ya Pre-form 5. Najua ubora wa hii shule kitaaluma ile yeye amekataa kabisa kwenda na ukimuuliza anasema sababu ya mazingira.
Naomba kupata uzoefu kwa ambae anaifahamu vyema je kuna mazingira gani magumu ambayo hayavumiliki?
Yeye anataka zaidi shule ya Mazinde Juu.