Mazingira ya Chuo Kikuu Iringa yapoje?

Mkwawa mnyalukoro

JF-Expert Member
Oct 11, 2017
232
136
Mliosoma university of Iringa VP Kitabu pale kipoje? Mazingira kwa usomaji yapoje tujuzane.

Je, kuna vimbweta vya kutosha?

Vyumba vya kupanga ni shilingi ngapi hasa jirani na Chuo?

Tujuzeni jamani
 
Vyumba vizurii kuanzia elfu70-100,000 self kikubwa kuanzia semtema kushuka chuoni,ambavyo sio self ni elfu 50,mitaa ile ile ya chuoni mpaka juu juu semtema,na kule bwawani..kama unajiweza kwa nauli unaweza kusogea mpaka ngome,changalawe,kihesa,kwa beda,mwang'ingo...

Vimbweta vipo vya kutosha

Kitabu inategemea na course unayosoma ila upande wa law wapo vizuri..

Itunze boom yako nunua kiwanja kigonzile,zungushia uzio/miti ama ukuta.utakuja kunishukuru badae

ONYO: Mwezi wa 11 ikishanyesha tu mvua unaanza msimu ulanzi mpaka mweziwa 4 kaa nao mbali huu ndio unafanya wanafunzi wanafeli wanaanza kusingizia walimu..ulanzi litre 1=500 wa baridi kama umetoka kwenye fridge unashuka kooni kama bia laini..ukikaa kwenye kijumba hukumbuki kipindi kinacho endelea darasani mama muuza anaweza kuwapikia ugali hukohuko...iringa kumenoga na uhakika wa kupata DISCO upo ukiendekeza ulanzi
 
Ulanzi hahaha 😊
 
Daah, mkuu ulanzi umenikumbusha mbali nimewahi kuonja nipo pale Mafinga..
Ila Iringa kuzuri sana, we unaishi maeneo gani mkuu
 
Vyumba vizurii kuanzia elfu70-100,000 self kikubwa kuanzia semtema kushuka chuoni,ambavyo sio self ni elfu 50,mitaa ile ile ya chuoni mpaka juu juu semtema,na kule bwawani..kama unajiweza kwa nauli unaweza kusogea mpaka ngome,changalawe,kihesa,kwa beda,mwang'ingo...

Vimbweta vipo vya kutosha

Kitabu inategemea na course unayosoma ila upande wa law wapo vizuri..

Itunze boom yako nunua kiwanja kigonzile,zungushia uzio/miti ama ukuta.utakuja kunishukuru badae

ONYO: Mwezi wa 11 ikishanyesha tu mvua unaanza msimu ulanzi mpaka mweziwa 4 kaa nao mbali huu ndio unafanya wanafunzi wanafeli wanaanza kusingizia walimu..ulanzi litre 1=500 wa baridi kama umetoka kwenye fridge unashuka kooni kama bia laini..ukikaa kwenye kijumba hukumbuki kipindi kinacho endelea darasani mama muuza anaweza kuwapikia ugali hukohuko...iringa kumenoga na uhakika wa kupata DISCO upo ukiendekeza ulanzi
Atakuja kukushukuru
 
hili jamaaa jinga sana
 
Back
Top Bottom