Mazingira magumu ya kufanya kazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mazingira magumu ya kufanya kazi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by tutaweza, Jul 31, 2012.

 1. tutaweza

  tutaweza JF-Expert Member

  #1
  Jul 31, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 45
  Tatizo la mazingira magumu linatatuliwa kwa kuondoa hayo mazingira magumu yenyewe na sio kwa posho.
  Mazingira magumu tunayotakiwa kuyatolea posho ni yale yanayotokana na nature ya kazi zenyewe na sio mazingira kwa nadharia ya eneo unalofanyia kazi.
  Mfano, serikali inatakiwa ijenge miundo mbinu ya uhakika (barabara, umeme, maji) huko vijijini na upatikanaji wa huduma muhimu za kijamii usionekane kama ni anasa.
  Sasa naishangaa serikali inaposema ipo kwenye mchakato wa kulifanyia kazi suala la mazingira magumu na nilipomsikiliza waziri Hawa Ghasia leo asubuhi (TBC) alikuwa anataja majina ya vijiji.
  Basi kama ni hivyo hata wananchi wanaoishi kwenye mazingira magumu inabidi nao walipwe posho
   
Loading...