Mazingira kambi za wakimbizi Kigoma, nini kifanyike?

mpingoo

New Member
Apr 27, 2016
2
0
Ni ukweli usiopingika kuwa uwepo wa wakimbizi una athari kubwa kwa misitu na wanyama kutoka misitu ya vijiji na hifadhi ya Moyovosi/Kigosi.

Wanajamvi...toeni michango juu ya teknolojia sahihi za hifadhi za mazingira, nishati mbadala, ujenzi wa mahema mbadala, kuni mbadala na kama gharama za kupikia gesi zinaweza kukidhi kuwa mbadala wa kuni ?? Naomba maoni yenu waungwana
 
Back
Top Bottom