Mazingira kama haya mazao ya Zanzibar yanaweza kupata soko katika nchi za Ulaya? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mazingira kama haya mazao ya Zanzibar yanaweza kupata soko katika nchi za Ulaya?

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Jan 30, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Jan 30, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,612
  Likes Received: 4,603
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Mazingira kama haya mazao ya Zanzibar yanaweza kupata soko katika nchi za Ulaya?​
   
 2. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #2
  Jan 30, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Mmmh kwanza hayo mazao yawatoshe wenyewe kabla hawajafikiri about exporting business....
   
 3. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #3
  Jan 30, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,443
  Likes Received: 4,729
  Trophy Points: 280
  Kabla hujatafakari mazingira, tizama kwanza mazao yenyewe....mhhhhhhhh....hata Bara hayafiki haya .................
   
 4. a

  altaaf Senior Member

  #4
  Jan 30, 2012
  Joined: Sep 15, 2009
  Messages: 179
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Ndio maana hatutaki tuvunje muungano ! crap .
   
 5. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #5
  Jan 30, 2012
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Mazao gani unayosema ya kupeleka ulaya? Bila utani na ukweli mbele ya Mola wangu siye kwetu kuna aina fulani ya ndizi nimeziona hapo binadamu hawazitumii huwa tunawalisha nguruwe!!
   
 6. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #6
  Jan 30, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,141
  Trophy Points: 280
  Kwani ya huku bara yana soko?

  Zao lao kubwa lenye soko duniani ni Karafuu. Wanasafirishi ndizi kidogo sana nje, zile mkono wa tembo kwenda Oman na kuja Hapa Dar., hizo zinatokea Pemba.
   
Loading...