Mazingira haya ya Profesa Mark Mwandosya ndio uchumi wa kati wenyewe vijijini

Stock ya vibiriti ikiisha ghafla anaenda mjini au anatafuta ulindi na ulimbombo?
Poverty thinking! unadhani huyo viberiti ananunua kimojakimoja kama wewe..pia hata ujui kuwa siku hizi kuna Majiko yana Lighter hapo hapo
 
Njoo kwangu Kajunjumele ushangae zaidi , nyumba za kawaida sana zinakuwehusha kisa mabati ya rangi , kwenu ni wapi mkuu ?
Mimi Mkinga ila nashinda Bungeni sana na Kariakoo nikiwa sipo bungeni

Kwa sasa Nipo Dodoma week hii yote Nipo Dodoma

Ukinikosa Bungeni Nipo kariakoo na Wakinga wenzangu
 
Back
Top Bottom