SoC01 Mazingira bora huleta afya njema

Stories of Change - 2021 Competition

ItsMi

Member
Sep 13, 2021
66
31
Kama tunavyofahamu kwa tafsiri kwamba mazingira ni jumla ya vitu vyote vinavyomzunguko mwanadamu ikihusisha vilivyo hai na visivyo hai, Anga hewa, Wadudu, Ndege wanyama mbalimbali na mimea na vinginevyo vingi hiyo ndiyo tafsiri ya mazingira

Hivyo afya njema inategemea vile tunavyoyaweka mazingira yetu safi na kuweza kudhibiti hali mbalimbali inayoleta utofauti usiofaa. Ili kuhakikisha kwamba tunafanyia usafi mahali ambapo ni pachafu

Tunapoishi tuhakikishe tunafanya mazingira yetu kuwa bora na masafi kwa kuwa itatuepusha na maradhi mbalimbali na hivyo kutujengea imani ya kujiamini tuwapo kwenye mazingira yetu
Kwa sababu Bacteria wengi wanaosababisha magonjwa huishi mahali penye uchafu ambapo baadae huweza kusababisha magonjwa ya mlipuko ambayo pengine ni sawa na kwamba tumeyasabisha wenyewe kwa kutupa taka maeneo yasiyofaa au kutokusafisha mara kwa mara maeneo yetu wenyewe
Asante kwa umakini wako

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom