Mazingaombwe ya kutoroka kwa mshukiwa wa mauaji ya msikitini Mwanza

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,898
Jeshi la polisi mkoani Mwanza limesema mtuhumiwa wa ujambazi waliyemkamata kwa matukio ya uhalifu yakiwamo ya uporaji maduka ya miamala ya kifedha na mauaji ya watu watatu msikitini, Hamis Juma, ametoroka chini ya ulinzi wa polisi wakati akiwapeleka mlimani kuwaonyesha wahalifu wenzake. Kamanda wa polisi wa mkoa wa Mwanza, Ahmed Msangi amesema mtuhumiwa huyo alikuwa mikononi mwa polisi akiwapeleka mahali walipojificha wenzake katika mlima Kiloleli, baada ya polisi na mtuhumiwa huyo kufika eneo la tukio saa 8:00 usiku, ghafla majambazi waliokuwa wamejificha katika mlima huo walianza kurusha risasi kwa askari ambao walitaharuki na kujibu mashambulizi huku wakimsahau mtuhumiwa aliyewapeleka. ‪#‎Akasepa‬!

MY TAKE;
1. Hii milima si tuliambiwa sasa imesafishwa na majeshi yetu?
2. Polisi waliendaje na mhalifu sugu milimani usiku wa manane?
3. Mhalifu alikuwa anakwenda kuwaonesha polisi wahalifu wenzake, sasa ilikuwaje Polisi hawakutegemea kuwa lazima mapambano yatatokea, unawezaje kwenda kukamata genge la wahalifu kama vile unakamata mbuzi zizini?
4. Kwa hiyo polisi wamempoteza jambazi mkuu na majambazi wasaidizi wote usiku huo!

Enzi za mazingaombwe zimerudi, sasa naanza kumkumbuka pawa Mabula, Pawa Gronda na mapawa wengine waliokuwa wanaambatana na wanamazingaombwe mashuhuri kufanya miujiza mijini na vijijini. Kwamba huyu jambazi ni sawa na yule muuza madawa ya kulevya wa kimataifa, ‪#‎Tuwe_Kizazi_Cha_Kuhoji_Daima‬.

Mtatiro J
 
Polisi pamoja na kazi hatari wanayofanya,wajitahidi kushughulikia hili kwa nguvu. Tunaamini wanaweza (tujifunze kuwa positive)
 
wapi intelijensia?
 
Hakuna jambazi yeyote aliyepotea

Hata hiyo Jana kamanda msangi alikuwa akizungumza kwa wasiwasi sana hata alikuwa anaogopa kuangalia kamera

Waseme kama mtuhumiwa kafa kutokana na mateso waliyokuwa wakimpa
Au wameamua kummaliza kwa manufaa ya watu fulani

AU
...............
 
Jeshi la polisi mkoani Mwanza limesema mtuhumiwa wa ujambazi waliyemkamata kwa matukio ya uhalifu yakiwamo ya uporaji maduka ya miamala ya kifedha na mauaji ya watu watatu msikitini, Hamis Juma, ametoroka chini ya ulinzi wa polisi wakati akiwapeleka mlimani kuwaonyesha wahalifu wenzake. Kamanda wa polisi wa mkoa wa Mwanza, Ahmed Msangi amesema mtuhumiwa huyo alikuwa mikononi mwa polisi akiwapeleka mahali walipojificha wenzake katika mlima Kiloleli, baada ya polisi na mtuhumiwa huyo kufika eneo la tukio saa 8:00 usiku, ghafla majambazi waliokuwa wamejificha katika mlima huo walianza kurusha risasi kwa askari ambao walitaharuki na kujibu mashambulizi huku wakimsahau mtuhumiwa aliyewapeleka. ‪#‎Akasepa‬!

MY TAKE;
1. Hii milima si tuliambiwa sasa imesafishwa na majeshi yetu?
2. Polisi waliendaje na mhalifu sugu milimani usiku wa manane?
3. Mhalifu alikuwa anakwenda kuwaonesha polisi wahalifu wenzake, sasa ilikuwaje Polisi hawakutegemea kuwa lazima mapambano yatatokea, unawezaje kwenda kukamata genge la wahalifu kama vile unakamata mbuzi zizini?
4. Kwa hiyo polisi wamempoteza jambazi mkuu na majambazi wasaidizi wote usiku huo!

Enzi za mazingaombwe zimerudi, sasa naanza kumkumbuka pawa Mabula, Pawa Gronda na mapawa wengine waliokuwa wanaambatana na wanamazingaombwe mashuhuri kufanya miujiza mijini na vijijini. Kwamba huyu jambazi ni sawa na yule muuza madawa ya kulevya wa kimataifa, ‪#‎Tuwe_Kizazi_Cha_Kuhoji_Daima‬.

Mtatiro J
Mkuu, Mtatiro uzi wako unapingana kabisa na wanaharakati wa haki za binadamu kwani polisi wangejibu mapigo hapo kijo bi simba na kundi lake angekuja juu. Tena rejea ktk piint No. 3 ya andiko lako ambapo wanaharakati hao hutaka wahalifu wakamatwe kama kuku hata kama watakurushia risasi.
 
Daaa bado haijaingi akilini!! Msangi JPM sio JK!! Umebebwa sana !! Kazi kwako!!
 
Back
Top Bottom