Msambichaka Mkinga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 1,649
- 2,911
Tukio hili kuliingiza akilini, ni lazima ujitoe ufahamu kwanza.
'' Rwanda kuna wataalamu wazuri waliobobea katika kila fani"Inabidi tulete wataalamu kutoka Rwanda waje kuliimarisha jeshi la polisi.
Tena wanadhibiti kwa kipigo kikali kama cha mwewe.Lakini cdm hawawezi kukimbia na huwa tunawadhibiti