Mazingaombwe Kenya: Siasa Za Kinyonga Zanoga

Kenyan-Tanzanian

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2006
Messages
306
Points
0

Kenyan-Tanzanian

JF-Expert Member
Joined Nov 7, 2006
306 0
Maneno tumesema wacha anga tupumuwe kiasi hizi picha zitusaidie maelezo.

1. Hebu mutazame PNU candidate kwenye kampeni http://www.youtube.com/watch?v=LhhY24Jvq3g

Na ulinganishe na

2. ODM candidate kwenye kampeni http://www.youtube.com/watch?v=Q7ER4Dwr4cM


Sijui ni mgani kati ya wawili hawa anyeonekana mtu mwenye kuheshimu wananchi wa kawaida na asiyewezakutumia mamlaka vibaya kuwaponda au kuwakandamiza adui wake.

Kazi kwenu.
 

Attachments:

Forum statistics

Threads 1,380,028
Members 525,675
Posts 33,763,988
Top