Maziko ya waliokufa kwa mlipuko wa bomu Afghanistan yafanyika

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,156
4,510
Maziko ya Waliokufa kwa Mlipuko wa Bomu Afghanistan Yafanyika.

Mazishi yameanza kwa waathirika wa milipuko kadhaa karibu na shule ya sekondari huko Kabul Jumamosi, ambayo sasa inadaiwa kuua zaidi ya watu 50.

Milipuko hiyo ilitokea wakati wanafunzi wakitoka kwenye jengo hilo. Waathiriwa wengi walikuwa wasichana, maafisa walisema.

Hakuna mtu aliyekiri kutekeleza shambulio hilo huko Dasht-e-Barchi - eneo ambalo mara nyingi hushambuliwa na wanamgambo wa Kisunni.

Maafisa wa serikali ya Afghanistan waliwalaumu wanamgambo wa Taliban kwa shambulio hilo, lakini kundi hilo lilikana kuhusika.

Mshindi wa Tuzo ya Nobel na mwanaharakati Malala Yousafzai - ambaye alipigwa risasi kichwani na Taliban mnamo 2012 - alichapisha ujumbe kuhusu "shambulio baya" kwenye mtandao wa Twitter.

"Moyo wangu uko pamoja na familia za wahanga wa shule ya Kabul," aliandika.

Lengo hasa la umwagaji damu wa Jumamosi halieleweki. Milipuko hiyo inakuja wakati ambapo kuna kuongezeka kwa vurugu wakati Marekani inataka kuondoa askari wake wote kutoka Afghanistan ifikapo tarehe 11 Septemba.
 
Wanauana wao kwa wao halafu wanaanza kuwalaumu Wamerekani.

Warabu hawana akili kbsa. Miji yao mizuri wanaifanya kutovu cha ghasia na magofu.
 
Wanauwa watoto wadogo wasio hatia then wanasema wanampigania Mungu ni Mungu gani huyu.
 
Wanauana wao kwa wao halafu wanaanza kuwalaumu Wamerekani.

Warabu hawana akili kbsa. Miji yao mizuri wanaifanya kutovu cha ghasia na magofu.
Inaonekana una chuki sana na waarabu,jaribu kuuliza kwa jirani yako waafghanistan ni waarabu?
 
Sina chuki nao ila ni wajinga sana. Hata kama siyo warabu lkn wanaabudu dini ya mwarabu. Hiyo dini kuna wajinga wengi sana. Kila kukicha wanauana halafu wanamsingizia Marekani
Inaonekana una chuki sana na waarabu,jaribu kuuliza kwa jirani yako waafghanistan ni waarabu?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom