Mazda Tribute

Jafar

JF-Expert Member
Nov 3, 2006
1,136
52
Bandugu, Naomba ushauri: Ninataka kununua gari kutoka Japan mwenye uzoefu wa magari naomba anipe kaushauri kidogo, nilipe nisilipe?

Details:
Car type: Mazda Tribute
Model code: TA-EPEW
Transmission: Auto
Fuel: Petro
Year: 2001
Colour: Black
Doors: 5

BF9334_1.jpg
 
mimi nilishaagiza zaidi ya mara moja na gari ilifika, kuna wakati gari niyo itaka iliwaiwa, jamaa hakika walinirudishia pesa zangu, japo gharama ya kutuma ilikuwa yangu. ni vizuri uwapigie simu na ujirizishe hiyo ni registered company gari ya ko utaipata ndani ya week 3 had 4.
 
Thanks - je aina hiyo ya gari unaikubari?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom