Mazao yanayolimwa Kigamboni

Paul kimario

Member
Jun 4, 2017
5
2
Wanajamii forum napenda mnishauri kwani nataka nianze kulima kigamboni sina shamba nataka nikodi naomba kujua gharama za kukodi shamba Kuandaa , mazao yanayostawi nk naombeni mnisaidie
 
Nina shamba kigamboni mwasonga nakodisha msimu moja kwa laki moja lina maji na walinzi, kwa sasa zimebaki heka 10
 
Back
Top Bottom