Mazao ya biashara yenye faida nzuri kwa zaidi ya nusu mwaka hapa Tanzania

Street Hustler

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
2,138
4,170
Habari wadau napenda kujua kwawale wajuzi na wazoefu wakununua mazao hasa ya biashara kutoka kwa mkulima na kuwauzia walaji na wahitaji.

Napenda kujua Sana kuhusu KITUNGUU, tikiti, tangawizi na mchele vipi Hali ya kibiashara kwa ununuzi na kwenda kuuza kwa wenye uhitaji mkubwa hasa kununua kutoka kwa mkulima.

NI miezi gani na zao lipi linakuwa almasi kwa muda husika na kwa maeneo gani hasa.

Natambua uwepo wa mazao ya biashara makubwa Kama korosho, kahawa, pamba, tumbaku, alizeti, chai na mahindi lakini nimependa nipate uzoefu wa Yale mengine ilasio mbaya kwa anaejua hata haya ambao serikali hutolea macho Sana.

Naomba kuwasilisha.
 
Mkuu hii kidogo imekaa General lakini twende sawa. Kwa maeneo mengi kutegemea na wewe unapanga kununua wapi mzigo wako na kuuza wapi zingatia msimu wa kuvuna hapo kila mtu huwa anauza na bei zinakua chini automatic na kama unapeleka jijini basi utambue soko lako huko liko vipi.

Kiujumla mazao hutofautiana kutoka mkoa mmoja hadi mwingine utakuta baadhi ya maeneo nchi hii watu wanavuna mwezi wa sita, saba na nane kwa mahindi na hapo hapo kuna sehemu wakati huo ndo kwanza wanapanda.

So jua soko lako na ilewa vizur vipindi vya mwaka utaipenda hii biashara. Binafsi nina project ya kukusanya taarifa za bei ya baadhi ya mazao kwa mwaka huu mzima najua nitazitumia wapi na lini ili niweze kuelewa vizuri soko lilivyo.
 
Mkuu hii kidogo imekaa General lakini twende sawa.. Kwa maeneo mengi kutegemea na wewe unapanga kununua wapi mzigo wako na kuuza wapi zingatia msimu wa kuvuna hapo kila mtu huwa anauza na bei zinakua chini automatic na kama unapeleka jijini basi utambue soko lako huko liko vipi. Kiujumla mazao hutofautiana kutoka mkoa mmoja hadi mwingine utakuta baadhi ya maeneo nchi hii watu wanavuna mwezi wa

sita,saba na nane kwa mahindi na hapo hapo kuna sehemu wakati huo ndo kwanza wanapanda. so jua soko lako na ilewa vizur vipindi vya mwaka utaipenda hii biashara. Binafsi nina project ya kukusanya taarifa za bei ya baadhi ya mazao kwa mwaka huu mzima najua nitazitumia wapi na lini ili niweze kuelewa vizuri soko lilivyo.

Poa boss Kama itapendeza hata Bei za masoko huko unakopita ukatushirisha nasie tuone soko linazungukaje
 
Muhogo mkavu wenye starch nyingi unauza pale Elia complex gorofa ya kwanza.

Tatizo ni mmoja muhogo utakulipa ukilima na shina moja lisipungue kilo10 angalau kwasababu wananunua 300 pe kg hata kama una tan 40. Ekari 1 mashina 4000 Soma hiyo brochure
 
Attachments

  • 001.jpg
    001.jpg
    714.6 KB · Views: 324
Muhogo mkavu wenye starch nyingi unauza pale Elia complex gorofa ya kwanza.

Tatizo ni mmoja muhogo utakulipa ukilima na shina moja lisipungue kilo10 angalau kwasababu wananunua 300 pe kg hata kama una tan 40. Ekari 1 mashina 4000 Soma hiyo brochure
Ubarikiwe boss wacha tuongeze maarifa hapo alafu tuone
 
Mimi kwangu zao ambalo naona linatija kuliko yote hapo ni michikichi au palm oil. Ingawa inachukua muda Sana kukua wastan wa miaka mitatu Ila mavuno yake no miaka Zaid ya 20.
Na mbegu nzuri ni hybrid inayoitwa tenera. Mbegu hii inahita hectare 0.26 kuzaliwa tonne moja ya mafuta ya mawese Kwa mwaka au inauwezo wa kuzaliwa mpka tonne 5 za mafuta ya mawese na kama tone moja ya mafuta ya mbosa. Na bado utabakiwa na mashudu ambayo kule kwetu kigoma Debe ni 4000.
Mafuta ya mbosa huuzwa wastan wa 50000 Kwa 20lt na mawese Kwa wastan wa USD 600 Kwa tonne moja Ila miez ya sita au kipindi cha uhaba huweza fikia 1200 Kwa tonne.
Kwa hiyo Kwa mtu mwenyewe heka zake tano za michikichi ana uwezo wa kupata tonne 25 Kwa mwaka na tukisema Akamue Tu na kuuza mawese Kwa wastan wa 35000 Kwa 20lt atakuwa na uwezo wa kuvuna madumu 250 Kwa mwaka Kwa hectare na akiuza si Chino ya 8ml na Kwa eka tano Tu si Chino ya 40mil hapo bado hajakamulisha plm kennel akapata mashudu.
Walahi ndo maana Malaysia watu wamemaliza misitu Africa pesa ipo. Zaid ya motion ya mbao
 
DU Asante sana. Soko lake ni lakutafuta au kuna watu wanahitaji kupelekewa kwa makubaliano na linapenda mazingira gani kustawi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ishu iko hivi lazima tubadilike. Haya mafuta yote tunayokula sijui ya Lorie na kadha wa kadha ni refined. Na kiukweli teknolojia hii Kwa mtu ambae anamua kuwekeza labda kwenye acre 40 au 20 mazao yakifikisha kipindi cha kuvuna unaweza ukachuka mkopo Kwa kutumia hicho plantation na kununua simple refinery machinery hata za kutoka india za hata 900kg Kwa SAA moja.
Yale mafuta ambayo ungeuza Kwa 35000 ukishaya refine ukapaki kwenye hata ndio kubwa na mdogo. Mfano ndio mdogo 10lt sasa hivi ukiuza 25000 na kubwa 50000 huoni kama faida ni kufanya mtu.
Mafuta ya mbosa yaani Yale mbegu ya ndan haya hata ufanyeje hayawez tosheleza maana ndo yanahitajika kwenye viwanda sabuni, cosmetics na demand yake n kubwa Sana. Hapa Tanzania hakuna kampuni au mtu ambae ashafikisha hata asilimiab 3ya demand. Ulienda kigoma hizo mbosa zinatafutwa kama uchawi.
Kuhusu mazingira ni tropical climate uhakika update sehem yenye mvua nyingi maana kipindi cha masilahi motion ndo huwa inapamba balaa. Nahisi hata ardhi yenye unyevunyevu unaweza Bora Zaid.
Ishu iliyopo tujifunze kufanya simple production wenyewe. Karina nchi zote za Africa nadhan ni Ghana au Gambia ndo wamejitosheleza Kwa mafuta lakini bado uhitaji wa mafuta ya mawese na ya mbosa yanahitajika Kwa wingi.
Sasa hivi ndo tinaingia kwenye matumiz ya biodiesel ndo demand itakuwa kubwa Zaid.
Africa pesa ipo Ila serikali zinaamini wawekezaji lazima waje Kwa dreamliner
NB: mashine ya kurefine mafuta toka China unapata hata Kwa USD 3000 na Kwa plantation ya heka kumi unaweza pata mkopo na ukarudisha hizo gharama
 
Aisee

Unamaanisha kurefine mafuta yapi sasa, sunflower au palm oil? Na yakiwa refined ni tofauti na virgin oil kwa Bei au?
Bdo sijakuelewa mkuu
 
Mimi kwangu zao ambalo naona linatija kuliko yote hapo ni michikichi au palm oil. Ingawa inachukua muda Sana kukua wastan wa miaka mitatu Ila mavuno yake no miaka Zaid ya 20.
Na mbegu nzuri ni hybrid inayoitwa tenera. Mbegu hii inahita hectare 0.26 kuzaliwa tonne moja ya mafuta ya mawese Kwa mwaka au inauwezo wa kuzaliwa mpka tonne 5 za mafuta ya mawese na kama tone moja ya mafuta ya mbosa. Na bado utabakiwa na mashudu ambayo kule kwetu kigoma Debe ni 4000.
Mafuta ya mbosa huuzwa wastan wa 50000 Kwa 20lt na mawese Kwa wastan wa USD 600 Kwa tonne moja Ila miez ya sita au kipindi cha uhaba huweza fikia 1200 Kwa tonne.
Kwa hiyo Kwa mtu mwenyewe heka zake tano za michikichi ana uwezo wa kupata tonne 25 Kwa mwaka na tukisema Akamue Tu na kuuza mawese Kwa wastan wa 35000 Kwa 20lt atakuwa na uwezo wa kuvuna madumu 250 Kwa mwaka Kwa hectare na akiuza si Chino ya 8ml na Kwa eka tano Tu si Chino ya 40mil hapo bado hajakamulisha plm kennel akapata mashudu.
Walahi ndo maana Malaysia watu wamemaliza misitu Africa pesa ipo. Zaid ya motion ya mbao
Hili zao lina stawi wapi ukiacha mkoa wa kigoma na je ni la kumwagilia?

Mnunuzi mkubwa hasa wa mafuta ya mawese ni nani

Ukamuaji kwa tonne ukoje?
 
Jamani wadau habarini za kaz saman nataka kuuliza kwa wenye uzoefu na biashara ya mchele kutoa mbeya kupeleka Dar au Dodoma

gharama ya usafiri kwa gunia moja 2,soko likoje kwa maeneo hayo mawili 3,bei zakuuzia 4,mzunguko wake ukojje mfano gunia 20 unatumia mda gani kumaliza kuziuza
siko lake
 
Biashara ya mchele ina mzunguko mkubwa kutokana na mazingila yako,unaweza nunua mchele hata tani 5(gunia 50)ukaziweka ndani unapita mtaani kwa wenye maduka unawaambia nina mchele nauza utapata wateja, au uwende pale tandika upate stoo umwachie auze mzigo akupe pesa yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom