Street Hustler
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 2,140
- 4,189
Habari wadau napenda kujua kwawale wajuzi na wazoefu wakununua mazao hasa ya biashara kutoka kwa mkulima na kuwauzia walaji na wahitaji.
Napenda kujua Sana kuhusu KITUNGUU, tikiti, tangawizi na mchele vipi Hali ya kibiashara kwa ununuzi na kwenda kuuza kwa wenye uhitaji mkubwa hasa kununua kutoka kwa mkulima.
NI miezi gani na zao lipi linakuwa almasi kwa muda husika na kwa maeneo gani hasa.
Natambua uwepo wa mazao ya biashara makubwa Kama korosho, kahawa, pamba, tumbaku, alizeti, chai na mahindi lakini nimependa nipate uzoefu wa Yale mengine ilasio mbaya kwa anaejua hata haya ambao serikali hutolea macho Sana.
Naomba kuwasilisha.