Duh! Hili zao la chakula au biashara?
Lima bangi, inakolea kinoma na ina soko LA uhakikaNingependa kufahamu ni aina gani ya mazao yanazalishwa huko Bagamoyo kwa mashamba ya wastani hadi makubwa.
GuguchawiNingependa kufahamu ni aina gani ya mazao yanazalishwa huko Bagamoyo kwa mashamba ya wastani hadi makubwa.
Bamia nyanya chungu, mbaazi, ndimu na korosho!Ningependa kufahamu ni aina gani ya mazao yanazalishwa huko Bagamoyo kwa mashamba ya wastani hadi makubwa.
ChildishUchawi