Mazao gani yanalimwa Bagamoyo?

SAYVILLE

JF-Expert Member
Mar 25, 2010
5,101
7,851
Ningependa kufahamu ni aina gani ya mazao yanazalishwa huko Bagamoyo kwa mashamba ya wastani hadi makubwa.
 
Bagamoyo kubwa sana na ardhi imetofautiana mfano maeneo ya mkurunge udogo wake ni mfinyanzi kama mbuga wakati sehemu nyingine ni kichanga na baadhi ya sehemu ni mfinyanzi mwekundu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom