Mazao gani yanafaa kwa kilimo chalinze?

bwegebwege

JF-Expert Member
Jul 30, 2010
1,071
185
Wana JF;

Mimi na wenzangu tumeamua kutafuta eneo la kilimo maeneo ya Chalinze, kama kilometa 10 - 15 kutoka pale Chalinze mjini. Mipango yetu y amuda mrefu ni kufanya kilimo cha mazao ya kudumu na cha kitaalamu. Kwa wenye uzoefu na maswala ya kilimo, hali ya udongo (Ardhi) n.k naomba mnisaidie mawazo ya nini kinafaa kulimwa pale (Mazao gain yanayostawi vema na yanayofaa kulimwa kule)
Natanguliza shukrani zangu za dhati
 
Kuna mazao 3 mnaweza kulima Maembe ya kisasa (KENT, ALFONSO, etc), MANANAS (smooth caynes) ama Korosho
 
Haujauziwa shamba langu kweli wewe? Hebu please kuwa specifically kidogo. Sio gwata huko?
Pale chalinze kama hutua 50 kama unaelekea morogoro then kulia unapandisha mitaa hiyo?
Wana JF;

Mimi na wenzangu tumeamua kutafuta eneo la kilimo maeneo ya Chalinze, kama kilometa 10 - 15 kutoka pale Chalinze mjini. Mipango yetu y amuda mrefu ni kufanya kilimo cha mazao ya kudumu na cha kitaalamu. Kwa wenye uzoefu na maswala ya kilimo, hali ya udongo (Ardhi) n.k naomba mnisaidie mawazo ya nini kinafaa kulimwa pale (Mazao gain yanayostawi vema na yanayofaa kulimwa kule)
Natanguliza shukrani zangu za dhati
 
Nmeshukuu sana kwa huo ufafanuzi. nana wewe una utaalamu wa kilimo. mimi pia ina eneo maeneo ya Kimbiji, ukipita kigamboni. mpaka sasa sijajua nilime nini. eneo lina unyevunyevu wa kutosha na kuna udongo wa mchangamchanga.
natanguliza shukurani wana JF
. vilevile sijajua misimu ya kulima.
panda

1. Mananasi
2. Mihogo
3. Mbaazi
4. Mkonge
 
Haujauziwa shamba langu kweli wewe? Hebu please kuwa specifically kidogo. Sio gwata huko?
Pale chalinze kama hutua 50 kama unaelekea morogoro then kulia unapandisha mitaa hiyo?

Sitashangaa kama nimenunua shamba lako, kama utakuwa hujaliendeleza nadhani tutaanza kupelekana kortini...nimepewa hati na serikali ya kijiji though, so tuendelee kuwasiliana ili tusije kuwa tunacheza mchezi wa kukwepa risasi...
 
Back
Top Bottom