Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na linabaki kuwa moja kati ya mapambano bora ya wakati wote.The Rumble in the Jungle....ilipigwa Zaire mwaka 1974 katika uwanja wa mpira...
Hadi matamasha makubwa ya mziki yanafanyika humo.Siku hizi boxing zinapigwa kwenye basketball court au sijaelewa
Kagame yupo very strategic linapkuja suala LA Kuimarket nchi yake
Sikatai inaweza kutokea lakini karwanda kako overrated sana.
Boxing ring Zina fixiwa pope wewe acha ujinga,wabongo bana! !cha mhimu audience wakae vizuri.
Big up kwaoNi kigali Arena jaman!