Mayweather vs Ortiz

Naipendatz

JF-Expert Member
Jul 27, 2011
5,080
8,219
Wazeya yule boxer tajiri and undeafeated Floyd Mayweather jr. kesho jumapili anapambana na Victor Ortiz mida ya alfajiri sana. Naomba wale wazee wa kuwanga night watutupie matokeo hapa jamvini as soon as yatapopatikana
 
Kwa Bongo itakuwa Jumapili tarehe 18 Sept. Kama atashinda Mayweather labda anaweza kuwa tayari kupambana na Pacquiao pambano ambalo mashabiki na wapenzi wa ndondi duniani wanalitaka na kulisubiri kwa hamu kuu.
 
Anazitwanga leo j'mosi usiku bongo j'pili. Natabiri upset! Akishinda sasa lile pambano lake na Pacman litakuwa set. Jamaa amekubali kupima damu labda Mayweather aje na visingizio vingine
 
<br />
<br /
Ok kaka napata shida caz mpaka sasa sijapata mda kamili kuna wanaosema kua saa sita
Na hao clouds fm na wengine saa 8 wengine 10 na wengine 11 please mwenye mda kamili anipatie
 
9pm EST, itakuwa 4am time za nyumbani. Ninavyojua kutakuwa na pambano la utangulizi so give it like 2 hours or so after 9pm, that means pambano linaweza kuanza anytime after 10pm EST ambapo itakuwa 5am saa za huko nyumbani

mayweather_vs_ortiz_poster_medium.PNG
 
Nadhani pambano litaanza around 11.00pm ET ambayo ni sawa na 6.00am EAT na linaweza kuchelewa kuanza hata kwa dakika 45 au saa nzima.
 
Anazitwanga leo j'mosi usiku bongo j'pili. Natabiri upset! Akishinda sasa lile pambano lake na Pacman litakuwa set. Jamaa amekubali kupima damu labda Mayweather aje na visingizio vingine
<br />
Mda si mrefu watachapana bado dk 20 yaani kuanzia saa 12.30 hapa kwetu <br />
 
Pambano ndio hilo linaanza baada ya dakika chache tu...ngoja tuone kama Mayweather kwa mara nyingine tena atafanya vitu vyake au kwa mara ya kwanza atakutana na mbabe wake.
 
Back
Top Bottom