MayWeather kupigana na Pacquiao ikiwa atakubali kupigana na mkono wa kulia

mwekundu

JF-Expert Member
Mar 4, 2013
21,859
19,707
Kwa wale wapenzi wa ngumi a k a boxing wenzangu na mie naona jiko la pambano ambalo linasubiriwa kwa hamu sana linazidi kupasha moto mpambano huo wa kukata na shoka ,maneno hayo yalitanabaishwa na promoter wa Floyd MayWeather ,Bob Arum akiwa anaongea na ABC-CBC news

images
box_a_pacquiao_diaz_300.jpg

Bob Arum:
Floyd May Wealther bondia hatari sana wa dunia wa uzito wa juu atasaini deal ya mechi ya kupigana na Many Manny Pacman Pacquiao ndani ya dakika 5 tu ikiwa ,Mfilipino huyo maarufu kwa kupigana boxing akitumia mkono wa kulia na kuucha mkono wake hatari sana wa kushoto

Bob Arum ambaye ni promoter wa mwanamasumbwi tajiri sana duniani Floyd My Wealth amesema katika kipindi cha miaka kumi ambayo amekua mdhamini wa Wealther ametoa siri kuwa Floyd amekua akikabiliwa na wakati mgumu kupambana na watu ambao wanatumia sana ngumi(makonde) makali ya kushoto (SOUTH PAW)-Left sided boxer

Bob Arum Alikaririwa akisema unapozungumzia wapiganaji wazuri wa southpaw(left sided boxer),Pacquio ni aina ya boxer wa aina yake na ni bora sana kwahiyo hilo linakua tatizo kidogo kwa My Wealther

"When you talk about a southpaw who can move like Manny, that's not the kind of opponent that Mayweather feels he would do well against. That's the problem," Arum said

Kwahiyo njia rahisi na ya haraka ya kumshawishi Mywealther ni Paquiao kukubali kupigana kwa kutumia mkono wa kulia ,
Kwa upande wa My Wealther ,Bob Arum promoter mwenye uzoefu aliendelea kutanabaisha kuwa sababu nyingine My Wealther hawezi kupigana na Pacquiao kwa sasa sababu yeye Pacquiao ni mtu mdogo sana na mwenye speed kwahiyo itakua ni hatari kwa My Wealther kushushiwa jina lake (title),Mtu ambaye ana showtime nyingi na anatengeneza fedha nyingi sana kupigana na mtu mwingine yoyote Yule "The widely popular boxing promoter said another reason why Mayweather is really avoiding a fight with Pacquiao is the fact that he has a multi-million dollar deal with Showtime,

Kwa Upande wa Pacquiao katika interviews zake alizozifanya karibuni na Media mbalimbali amesema kuwa yuko tayari kupigana na My Wealth muda na saa yoyote popote pale……line yake ya simu iko open 24/7 apigiwe tu

Ili kulifanya shindano na My Wealther na Manny Pacquiao lipendeze zaidi na liwe la kuvutia Mfilipino huyo anatakiwa ashinde kwa udi na uvumba match yake dhidi ya bondia maarufu na asipigika wa kimarekani Chris Algieri mwezi November
 
hii ni kama vile Real madrid watakubali kucheza na Barcelona ikiwa messi atakubali kutofunga goli kwa kutumia mguu wa kushoto...
 
ha ha ha sasa hapo mmoja ni superstar ana cash nyingi kushinda mwenzio ,MayWeather hataki Pacquiao aokote dodo kwenye mnazi, ukijaribu kupima utaona Pacquiao ndo mwenye umuhimu na hilo pambano ili aibuke awe champion moja kwa moja kwa upande mwingine May Weather itamuharibia ndo maana ameweka masharti magumu
 
Ni sawa na arsenal kucheza na manchester na kusema Van Persie na Rooney wasiwepo.

Mayweather anaogopa, hana lolote, kwanini uweke sheria hivyo??
 
Huyu Maywether mi simkubali, anawagwaya sana wenzake kwa visingizio kibao. Sasa na Manny aseme Maywether asitumie mkono wa kulia pia asivae mouth guard. Ni kwamba tu hamna boxer wa kimarekani aliye kwenye form, hivyo wameamua ku-force mambo sababu ye ndo hot cake ukipigana nae unapata mshiko mrefu, ila hana kitu. Mechi mbili za mwisho kashinda ila alichezea kichapo kizuri tu. Hashindagi kwa landslide, vipoint ndo nini kila bout! A K.O mtu tumuone kidume. Sina kumbukumbu ali K.O mtu lini.
 
issue hapa ni cash.......na showtime kwakua May Weather ana mchongo mrefu sana ambao hata Pacquiao robo yake hafikii so mwenye demand kubwa ya kupigana na MayWeather ni Pacquiao ili atoke (promoted) thats why jamaa hawezi kujiweka kwenye risky kama Bob Arum alivyoelezea hapo juu,Yan PacMan anataka kumtumia May kama Lavarage fulani hivi(ngazi) na sio May Weather bcos anaweza make Money kwa kupigana na yeyote yule hata Bila Mr Pac na bado beef limeanza rasmi jana cheki hii hapa link PacMan alivyodhihakiwa anasema

"My new boxing DVD is coming soon and is called "3 Ways to Sleep". Back, Face and Butt and I'm Falling & I Can't Get Up. Miss Pac Man is broke and desperate for a pay day. Your Pay-Per-View numbers are a joke. www.themoneyteam.com"
 
Huyu Maywether mi simkubali, anawagwaya sana wenzake kwa visingizio kibao. Sasa na Manny aseme Maywether asitumie mkono wa kulia pia asivae mouth guard. Ni kwamba tu hamna boxer wa kimarekani aliye kwenye form, hivyo wameamua ku-force mambo sababu ye ndo hot cake ukipigana nae unapata mshiko mrefu, ila hana kitu. Mechi mbili za mwisho kashinda ila alichezea kichapo kizuri tu. Hashindagi kwa landslide, vipoint ndo nini kila bout! A K.O mtu tumuone kidume. Sina kumbukumbu ali K.O mtu lini.

ila mimi nataka nione pambano lao sitaki speculation yoyote ile because hata Pacquiao pambano la mwisho alidundwa KO na Juan Manuelz IV mwezi december 08 2012 zicheki tu clip zake ila honestly kwenye ulimwengu wa Boxing ili umshinde mmarekani labda waamue tu wale wenyewe wacheza kamali na ma drug Lords kwa sababu USA ndo wanaamini Boxing na Basketball ni game yao so bingwa hawezi kutoka nje ya pale kirahisi
 
Nielezee hii teknolojia
 
Kwa wale wapenzi wa ngumi a k a boxing wenzangu na mie naona jiko la pambano ambalo linasubiriwa kwa hamu sana linazidi kupasha moto mpambano huo wa kukata na shoka ,maneno hayo yalitanabaishwa na promoter wa Floyd MayWeather ,Bob Arum akiwa anaongea na ABC-CBC news

images
box_a_pacquiao_diaz_300.jpg

Bob Arum:
Floyd May Wealther bondia hatari sana wa dunia wa uzito wa juu atasaini deal ya mechi ya kupigana na Many Manny Pacman Pacquiao ndani ya dakika 5 tu ikiwa ,Mfilipino huyo maarufu kwa kupigana boxing akitumia mkono wa kulia na kuucha mkono wake hatari sana wa kushoto

Bob Arum ambaye ni promoter wa mwanamasumbwi tajiri sana duniani Floyd My Wealth amesema katika kipindi cha miaka kumi ambayo amekua mdhamini wa Wealther ametoa siri kuwa Floyd amekua akikabiliwa na wakati mgumu kupambana na watu ambao wanatumia sana ngumi(makonde) makali ya kushoto (SOUTH PAW)-Left sided boxer

Bob Arum Alikaririwa akisema unapozungumzia wapiganaji wazuri wa southpaw(left sided boxer),Pacquio ni aina ya boxer wa aina yake na ni bora sana kwahiyo hilo linakua tatizo kidogo kwa My Wealther

“When you talk about a southpaw who can move like Manny, that’s not the kind of opponent that Mayweather feels he would do well against. That’s the problem,” Arum said

Kwahiyo njia rahisi na ya haraka ya kumshawishi Mywealther ni Paquiao kukubali kupigana kwa kutumia mkono wa kulia ,
Kwa upande wa My Wealther ,Bob Arum promoter mwenye uzoefu aliendelea kutanabaisha kuwa sababu nyingine My Wealther hawezi kupigana na Pacquiao kwa sasa sababu yeye Pacquiao ni mtu mdogo sana na mwenye speed kwahiyo itakua ni hatari kwa My Wealther kushushiwa jina lake (title),Mtu ambaye ana showtime nyingi na anatengeneza fedha nyingi sana kupigana na mtu mwingine yoyote Yule “The widely popular boxing promoter said another reason why Mayweather is really avoiding a fight with Pacquiao is the fact that he has a multi-million dollar deal with Showtime,

Kwa Upande wa Pacquiao katika interviews zake alizozifanya karibuni na Media mbalimbali amesema kuwa yuko tayari kupigana na My Wealth muda na saa yoyote popote pale……line yake ya simu iko open 24/7 apigiwe tu

Ili kulifanya shindano na My Wealther na Manny Pacquiao lipendeze zaidi na liwe la kuvutia Mfilipino huyo anatakiwa ashinde kwa udi na uvumba match yake dhidi ya bondia maarufu na asipigika wa kimarekani Chris Algieri mwezi November

we pimbi kwelikweli.nani kakwambia Bob Arum ni promota wa Floyd? pia nani kakwambia floyd ni bondia wa uzito w juu.fanya utafiti kabla ya kuja andika pumba
 
we ni mpuuzi ambaye hata nyuma ya ki board unajulikana,ficha ujinga wako mburula
 
Back
Top Bottom