Mayweather kupanda ulingoni kupambana pambano la mwisho dhidi ya GGG

Hahaaaa.. Mkuu punguza jazba. Mi mwenyewe nimeelewa na ndio maana nimeshangaa. Antony Joshua na li mwili lote akapigane na Mayweather kweli.? Hapo umepuyanga mzee
usipanic brother

Jokes tu
Ulikuwa chaka mkuu lazima ukubali
 
Wewe ndio umeenda chaka. Mayweather hawezi kupigana na Antony Joshua. Na ndio maana nikakwambia rudi kwenye mpira tena wa miguu huu mchezo acha kuufatilia

Ndo mana nakwambia umevuta cha arusha hujielewi waliojua nlikuwa namaanisha nini washajibu usilete ujuaji wanaojua washajua
 
Wewe ndio umeenda chaka. Mayweather hawezi kupigana na Antony Joshua. Na ndio maana nikakwambia rudi kwenye mpira tena wa miguu huu mchezo acha kuufatilia

Mtu anauliza kwa nini hawapigani unamwambia rudi kwenye mpira we kichwani zimo kweli???? Huo mpira nilizaliwa naujua kukaa kimya ni busara sio kila kitu unakijua wewe
 
Mtu anauliza kwa nini hawapigani unamwambia rudi kwenye mpira we kichwani zimo kweli???? Huo mpira nilizaliwa naujua kukaa kimya ni busara sio kila kitu unakijua wewe
Hahahaaa.. Ila ni msaada nilikua nakupa ulikua unaenda kuaibika vibaya mnoo. Samahani kwa kukukwaza ila nilikua na lengo la kukuokoa mkuu.

Pole sana. Mechi yenu ya UEFA mnacheza lini mkuu.?
 
Yeye kila pambano n la mwisho...
Anachosha huyu. Afunguke kama bado yuko kwa game au vepe
 
Hahahaaa.. Ila ni msaada nilikua nakupa ulikua unaenda kuaibika vibaya mnoo. Samahani kwa kukukwaza ila nilikua na lengo la kukuokoa mkuu.

Pole sana. Mechi yenu ya UEFA mnacheza lini mkuu.?

Sio wa kuabika mm nina wasiwasi kichwa box mkuu wewe narudia tena fuatilia majibu ya hanc ujione na wewe ulivyocoment kishamba as if kila kitu wajua vile nimeachana na mpira nipo hapa kwa sasa uefa haina maana tena
 
Hahahaaa mkuu kweli nimekuvuruga.. Mimi nimeshangaa Mayweather hawezi kugombana na Antony Joshua kwa sababu wana weight tofauti. Ye Hance katoa majibu ya moja kwa moja.
Hahaaa unajikuta hukunielewa..!!

We turudi kwenye mpira huku tuwaachie wanaojua.
 
Mayweather ni sawa sawa na Cr7 na Neema kazi kujisifu tu.

King Messi =Mohamed Ali.
Pumba hii hivi unajua majvuno na kauli za dharau za ali kwa wapinzan wake kpnd cha ujana wake uyo mayweather ata robo haingii
 
GGG bado mtoto mdogo kwa Foyld kama ameweza kumkalisha mbabe wake "Canelo'' hyo asumbui. Wamuache jamaa ale bata umri umeenda aliyowakalisha wanatosha
"Licha ya GGG kuwa na ngumi kali na mabondia wachache wanaoweza kumpiga LAKINI GGG huwa anafanya makosa mengi sana anapokuwa ulingoni " By Floyd Mayweather
 
Back
Top Bottom