Mayor wa New York amwambia Trump: We do not have a King, We have an elected President

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,302
73,844
Ni baada ya Trump kuleta ubabe kuwa: A President of the United States of America has TOTAL AUTHORITY! Magavana na yeye walipishana namna ya kufungua shughuliza kiuchumi USA akitaka kutoa Amri kwa majimbo.
Ameshambuliwa sana kuwa hana mamlaka hayo. Majimbo yatapanga utaratibu namna ya ku- reopen the economy! Wamemkumbusha kuwa yeye siyo KING, ni rais amechaguliwa!

My reflections: Ikanipeleka hapa kwetu ambapo mtu anavunja katiba/sheria anavyojisikia bila woga! Anatawala Bunge na Mahakama kama department za executive! johnthebaptist
 
Mnamajimbo ,mngewacha chadema waongee..wenye katiba inayosema kuongozwa nchi kimajimbo
Ni baada ya Trump kuleta ubabe kuwa: A President of the United States of America has TOTAL AUTHORITY! Magavana na yeye walipishana namna ya kufungua shughuliza kiuchumi USA akitaka kutoa Amri kwa majimbo.
Ameshambuliwa sana kuwa hana mamlaka hayo. Majimbo yatapanga utaratibu namna ya ku- reopen the economy! Wamemkumbusha kuwa yeye siyo KING, ni rais amechaguliwa!

My reflections: Ikanipeleka hapa kwetu ambapo mtu anavunja katiba/sheria anavyojisikia bila woga! Anatawala Bunge na Mahakama kama department za executive! johnthebaptist

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo hapa kwetu hatuna true democracy.
 
Naunga mkono hoja ya trump watu watoke nje kabisa

Bwashee kwani Bunge na Mahakama haviko chini ya Rais?

Unajua namna sheria zetu zinavyoundwa na nani anazibariki ili zitumike?
 
By principle of separation of power havipashwi! Nenda angalia CNN walivyomshambulia Trump eti ana "Total" authority over majimbo. Kidogo wampige mayai visa
 
Ni baada ya Trump kuleta ubabe kuwa: A President of the United States of America has TOTAL AUTHORITY! Magavana na yeye walipishana namna ya kufungua shughuliza kiuchumi USA akitaka kutoa Amri kwa majimbo.
Ameshambuliwa sana kuwa hana mamlaka hayo. Majimbo yatapanga utaratibu namna ya ku- reopen the economy! Wamemkumbusha kuwa yeye siyo KING, ni rais amechaguliwa!

My reflections: Ikanipeleka hapa kwetu ambapo mtu anavunja katiba/sheria anavyojisikia bila woga! Anatawala Bunge na Mahakama kama department za executive! johnthebaptist
Huyu wa hapa angekuwa kule wangeshamnyofoa mapema sana
 
Ni baada ya Trump kuleta ubabe kuwa: A President of the United States of America has TOTAL AUTHORITY! Magavana na yeye walipishana namna ya kufungua shughuliza kiuchumi USA akitaka kutoa Amri kwa majimbo.
Ameshambuliwa sana kuwa hana mamlaka hayo. Majimbo yatapanga utaratibu namna ya ku- reopen the economy! Wamemkumbusha kuwa yeye siyo KING, ni rais amechaguliwa!

My reflections: Ikanipeleka hapa kwetu ambapo mtu anavunja katiba/sheria anavyojisikia bila woga! Anatawala Bunge na Mahakama kama department za executive! johnthebaptist
Nani huyo Mzee Shein?
 
Huku visiwa vya Ibiza(Spain) nilipo rais hua anamuagiza Spika wa bunge la wananchi wa Ibiza na Spika huyo anatii huku akiinama.
 
Ni baada ya Trump kuleta ubabe kuwa: A President of the United States of America has TOTAL AUTHORITY! Magavana na yeye walipishana namna ya kufungua shughuliza kiuchumi USA akitaka kutoa Amri kwa majimbo.
Ameshambuliwa sana kuwa hana mamlaka hayo. Majimbo yatapanga utaratibu namna ya ku- reopen the economy! Wamemkumbusha kuwa yeye siyo KING, ni rais amechaguliwa!

My reflections: Ikanipeleka hapa kwetu ambapo mtu anavunja katiba/sheria anavyojisikia bila woga! Anatawala Bunge na Mahakama kama department za executive! johnthebaptist

Tatizo lako Hilo neno „reflection „. Umereflect Nini Sasa Hapo wakati Upo prejudiced tayari. Kweli duniani Kuna mambo. Ndani ya reflection Kuna hisia zako. Una uhakika gani mtu unayemhisi anaingilia mahakama anafanya hivyo. Au nayo Ni reflection ya kutoka induction to deduction.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni baada ya Trump kuleta ubabe kuwa: A President of the United States of America has TOTAL AUTHORITY! Magavana na yeye walipishana namna ya kufungua shughuliza kiuchumi USA akitaka kutoa Amri kwa majimbo.
Ameshambuliwa sana kuwa hana mamlaka hayo. Majimbo yatapanga utaratibu namna ya ku- reopen the economy! Wamemkumbusha kuwa yeye siyo KING, ni rais amechaguliwa!

My reflections: Ikanipeleka hapa kwetu ambapo mtu anavunja katiba/sheria anavyojisikia bila woga! Anatawala Bunge na Mahakama kama department za executive! johnthebaptist
ki bongo bongo mtu anamzabua mwenzake na Gongo,halafu kesho anakua mkuu wa mhimili Fulani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom