Ni baada ya Trump kuleta ubabe kuwa: A President of the United States of America has TOTAL AUTHORITY! Magavana na yeye walipishana namna ya kufungua shughuliza kiuchumi USA akitaka kutoa Amri kwa majimbo.
Ameshambuliwa sana kuwa hana mamlaka hayo. Majimbo yatapanga utaratibu namna ya ku- reopen the economy! Wamemkumbusha kuwa yeye siyo KING, ni rais amechaguliwa!
My reflections: Ikanipeleka hapa kwetu ambapo mtu anavunja katiba/sheria anavyojisikia bila woga! Anatawala Bunge na Mahakama kama department za executive! johnthebaptist