Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,829
- 1,296
Wadau; huyu Ray Nagin ni mayor wa New Orleans; na ndiye alikuwa meya wakati mji huu ulipokumbwa na Kimbunga cha Katrina!
Nilimuhusudu sana Myaor Nagin kwa ukweli aliowapasha watu wa serikli kuu kwa kuwacheleweshea misaada wahanga wa Katrina. he is one of my idols. http://www.citymayors.com/mayors/new_orleans_mayor.html