Mayalla Paschal bado unaamini kuwa Paulo Makonda bado ni Presidential material?

Mkuu Mbase, with due respect, Simple mind, discus people, Ordinary mind discus events na Great Mind discus ideas.
Mtu kuwa presidential material ni possession of presidential virtues, ukiisha kuwa, you are!.

Hivyo bandiko hili
bado liko valid

P
Huyu naye keshaaibika alikuwa anatafuta vyeo,tumbo njaa ,haya majina tunapowaita watoto tuwe makini saaaaana,mayala means njaa
 
Swali kwako Mayalla, je Makonda bado ni Presidential Material?
Mkuu Mbase1970, bado naamini!.
Pascal Mayalla ni mwandishi wa habari nguli, mwanasheria na mchambuzi wa maswala ya siasa.

Wakati fulani siku za nyuma kupitia hapa JF alimtabiria Mkuu wa Mkoa mstaafu Paul Makonda kuwa Mgombea Urais wa JMT kupitia CCM 2025.

Kwa sababu mgombea urais wa JMT kupitia CCM 2025 atakuwa kijana, Je utabiri wa Pascal Mayalla utatimia?

Ngoja tuone.

Maendeleo hayana vyama!
Mkuu Yohana Mbatizaji, johnthebaddest , hii ngoma bado iko very valid!
Niliwahi sikia kuwa vyombo vya dola vilimwambia Magufuli amuondoe Makonda ila yeye tu aligomaga kutokana na kumpenda sana.

Kwa nafasi mpya aliyoteuliwa na Chama chake nina uhakika mwenyekiti wake ajipange kuletewa kila siku taarifa zinazotokana na mapungufu yake.

Swali langu
Je waliomteua Makonda kuwa Katibu Mwenezi wanajua hizi changamoto zake? Hawakuuliza hata kwenye vyombo vya dola?

Wakati utaongea!
Mkuu Lord denning , you might be right kwenye yote hayo, kwasababu hakuna mkamilifu, ila human beings are not static, they are dynamics and hence, they change with time. Kwa mapito aliyoyapitia amejifunza humility, he will be the best of the best!.

Ili kumjua vizuri, anzia hapa Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe walilolikataa Waashi litafanywa kuwa Jiwe Kuu la Pembeni

Kisha Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam

Akawa RC wa DSM na akafanya makubwa ikiwa ni pamoja na kupitishwa kwenye tanuri la moto kupikwa akaiva kisawasawa

Kwa wale mnaopenda kujua mapito aliyo yapita karibuni pande hizi
Najua kuna watu bado hawaamini hili linawezekana, naomba kuwathibitishia, lisilo wezekana kwa binadamu, kwa Mungu linawezekana!.
P
 
Mkuu Mbase1970, bado naamini!.

Mkuu Yohana Mbatizaji, johnthebaddest , hii ngoma bado iko very valid!

Mkuu Lord denning , you might be right kwenye yote hayo, kwasababu hakuna mkamilifu, ila human beings are not static, they are dynamics and hence, they change with time. Kwa mapito aliyoyapitia amejifunza humility, he will be the best of the best!.

Ili kumjua vizuri, anzia hapa Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe walilolikataa Waashi litafanywa kuwa Jiwe Kuu la Pembeni

Kisha Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam

Akawa RC wa DSM na akafanya makubwa ikiwa ni pamoja na kupitishwa kwenye tanuri la moto kupikwa akaiva kisawasawa

Kwa wale mnaopenda kujua mapito aliyo yapita karibuni pande hizi

Najua kuna watu bado hawaamini hili linawezekana, naomba kuwathibitishia, lisilo wezekana kwa binadamu, kwa Mungu linawezekana!.
P
Time will tell Pasco
 
Huwa nakuogopa sana na kuogopa na nyuzi zako.
 
wacha nipite hivi....
Mara paa eti Makonda kawa rais hapo ndio ntaamini hii Nchi Ina mazuzu na mazombi ni wengi na hawaishi, nakumbuka ubunge kigamboni alipigwa panga mapema sana baada ya kufanyiwa vetting; huku ukuu wa mkoa anautaka na ubunge anautaka, wazee wakamwambia achia kimoja upewe kimoja huwezi kupewa vyote kwa pamoja, si akaachia ukuu wa mkoa ili aupate ubunge wazee wameingia ndani wakamfyeka akapotea akaukosa ubunge akaukosa ukuu wa mkoa,

In short Makonda sio issue ya Presidential issue & material yeye anakichotaka sio ukatibu sio uwenezi sio uwaziri wala sio ubunge sio unaibukatibu mkuu sijui ubunge wa kuteuliwa na rais, la hasha

Makonda anataka kua rais wa Nchi hii hivyo vyeo vidogo vidogo mnavyompa anaona km mnamdogoza tu yeye anataka kua rais, aongee km rais asimame km rais aongoze km rais atembee km rais aamrishe km rais aadhibu km rais na ukileta za kumletea na yeye anakuletea, usiulize anakuletea nini mtafute Manji, MO na GSM uwaulize watakueleza vizuri,

Kawatumia salamu mapema kabisa wakae mkao wa kuchakazwa,

Screenshot_20231025-081117.png
 
Mkuu Mbase1970, bado naamini!.

Mkuu Yohana Mbatizaji, johnthebaddest , hii ngoma bado iko very valid!

Mkuu Lord denning , you might be right kwenye yote hayo, kwasababu hakuna mkamilifu, ila human beings are not static, they are dynamics and hence, they change with time. Kwa mapito aliyoyapitia amejifunza humility, he will be the best of the best!.

Ili kumjua vizuri, anzia hapa Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe walilolikataa Waashi litafanywa kuwa Jiwe Kuu la Pembeni

Kisha Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam

Akawa RC wa DSM na akafanya makubwa ikiwa ni pamoja na kupitishwa kwenye tanuri la moto kupikwa akaiva kisawasawa

Kwa wale mnaopenda kujua mapito aliyo yapita karibuni pande hizi

Najua kuna watu bado hawaamini hili linawezekana, naomba kuwathibitishia, lisilo wezekana kwa binadamu, kwa Mungu linawezekana!.
P
Haiwezekani, Makonda hafiki popote, na hii ndiyo nafasi yake ya mwisho. Hatuwezi kuongozwa na shoga!!
 
Makonda ana udhubutu,sipendi watu wanafiki.
Makonda kiukweli huwa hapindishi Jambo japo Kuna kuteleza.
Ila jamaa ni aina ya mtu huwa ni direct observer.
Japo ana ile utanieleza nn Kama me ndo bosi.
Hana ile kuheshimiana,ila kwenye Mambo mengi yanayoenda ovyo ni mwepesi kuyakabili.
Ila kiongozi yeyote aliye ndani ya CCM ni bule kabisa.
Tunahitaji mabadiriko ya uongozi WA Nchi kupitia kwa chama kingine.
Hawa Wana miaka dahali.
 
Nitangulize kwa kusema kuna baadhi ya mambo ayafanyayo huyu kiumbe anayeitwa Paulo Makonda ana mikono michafu a.k.a Bashite nakubaliana nayo. Baadhi ni vita dhidi ya mihadarati na kusaidia vijana wasiojiweza na baadhi ya maamuzi ya kuwasaidia wenye umasikini.

Huko nyuma kuna thread iliyoletwa na mwanahabari na Broadcaster Nguli Ndugu yangu Paskali Njaa Mayalla kuhusu huyu msukuma mwenzake Paulo ana mikono michafu Makonda.

Kwa sasa ni miaka minne imepita na ameshaleta vituko vingi zaidi katika serikali ya msukuma mwenzake Pombe. Msumari wa mwisho ni hili suala la Idrisa Sultan. Wengine tunashindwa hata kujua ni kipengele gani watakitumia kumfanya atiwe hatiani. Wanasheria wa jamvini kama kina mtani wangu Petro E. Mselewa na wenzake watusaidie.

Swali kwako Mayalla, je Makonda bado ni Presidential Material?
Bado naamini
Wanabodi, kwenye bandiko hili Ndugu, Jamaa na Marafiki, Njooni Tumtetee Makonda Dhidi ya Mapapa Wauza Unga Wanaomzushia... nilishauri
Wanabodi,

Hili ni bandiko la kuhamasisha a mass mobilization ya kupata kundi kubwa la watu, kuunga mkono kwa dhati, juhudi kubwa zinazofanywa na Mkuu Mhe. Paul Christian Makonda, katika vita mbalimbali,

Hivyo hili ni bandiko la wito kwa kuwaomba ndugu, jamaa na marafiki wa dhati, wanaomjua Makonda kwa karibu na kwa ukweli, njooni tujitokeze kwa wingi, kumtetea Makonda tunayemfahamu dhidi ya uongo na uzushi unaozushwa na kusambazwa na mapapa wauza unga

Ndugu, Jamaa na Marafiki, Tujitokeze Kwa Wingi Kumtetea Makonda
Paskali.
Hata baada ya kuteuliwa kuwa Mwenezi wa CCM, Paul Makonda bado anapigwa vita na wasiomtakia mema, wasioitakia mema CCM na wasio itakia mema Tanzania.

Japo Tanzania ni nchi ya vyama vingi, na kwa mujibu wa katiba ya Tanzania, mamlaka kuu ya nchi ni wananchi, kupitia katiba, serikali ya CCM ilifanya mabadiliko ya katiba kinyume cha katiba na kupoka ukuu wa mamlaka kuu ya wananchi, na kuikakabidhi kwa chama cha siasa, ambapo sasa mamlaka Kuu ya nchi ni chama tawala, CCM ndio imeshika hatamu kuongoza serikali, hivyo katika ukuu wa chama, CCM ndio kila kitu, hivyo Makonda kama msemaji wa CCM, kikao cha CCM kinaweza kumwagiza Rais wa JMT atekeleze jambo lolote lililoelekezwa kwenye ilani ya CCM, Katibu Mwenezi ndie msimamizi wa ilani ya CCM, ana mamlaka yote ya kumuamrisha hadi Rais wa JMT, atekeleze ilani ya uchaguzi ya CCM, hivyo Makonda yuko very right kumuamrisha Waziri Mkuu na kumpa ultimatum ya miezi 6 kumaliza migogoro yote ya ardhi ya nchi hii.

Na baada ya miezi 6, kama Waziri Mkuu, Majaliwa Kasim Majaliwa atashindwa kuitatua migogoro yote ya ardhi, atakuwa ni ameshindwa kazi, Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi, itakutana na kumuagiza Rais wa JMT, kumuondoa Waziri Mkuu, kwa kushindwa kazi na kumteua Waziri Mkuu mwingine mwenye uwezo.

Hata ikitokea Rais Samia ameshindwa kutekeleza ilani ya uchaguzi ya CCM, chama kinaweza kumfuta uanachama na hivyo kupoteza urais!, hivyo Mwenezi wa CCM ni mtu mkubwa sana, kuliko serikali yote ya Tanzania, na hii ndio maana halisi ya Party Supremacy, CCM ndio imeshika hatamu za kuiongoza serikali ya Tanzania .

Hongera sana Mwenezi mpya wa CCM, Paul Makonda, kuiheshimisha CCM, endelea kutoa maagizo na ultimatum kwa viongozi wote kuhusiana na utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM, wewe ndiye msimamizi wa ilani ya CCM!.

Angalia ilani ya CCM imeelekeza nini kuhusu Bunge la JMT, toa maelekezo kwa Spika with ultimatums, Spika akishindwa kutekeleza Spika anaondolewa!, enzi za Spika Sitta, aliponea chupu chupu kuondolewa, kuna mtu mmoja very powerful ndani ya CCM aitwae "The King Maker" ndie alimuokoa Spika Sitta kwa kumpa maelekezo Mwenyekiti wa CCM, JK, na hii ndio salama yake!.

Makonda angalia ilani ya uchaguzi ya CCM inasema nini kuhusu mhimili wa Mahakama, toa maagizo with ultimatum kwa Jaji Mkuu atekeleze.

Angalia ilani ya uchaguzi inasema nini kuhusu majeshi, ulinzi na usalama, toa maelekezo with ultimatum kwa Amiri jeshi Mkuu na kwa Mkuu wa majeshi, IGP , etc.

Ila kwa nafasi ambazo sio za kichama kama Jaji Mkuu, Mkuu wa Majeshi, CAG, Mwenyekiti wa NEC, Msajili wa Vyama vya Siasa, Wakuu wa vyombo vya Ulinzi, Mwenyekiti wa Tume ya Utawala Bora na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma ambao ni wateule wa rais, Paul Makonda anaweza kuwapa maelekezo bila ultimatums kwasababu hawa chama hakiwezi kuwafanya chochote, na badala yake, chama kitampa maelekezo mamlaka yake ya uteuzi ambaye ni Rais wa JMT, awaondoe!.

Kiukweli ninamkubali sana Paul Makonda!, Tangu nilipoanza kumkubali Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam
He has never let me down!. Tena niliwahi kushauri Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze... ushauri huu still stands, kwasababu miaka hii 4 ya Mama ni kumalizia awamu ya Magufuli, awamu ya baada ya Magufuli inaanza 2025, ila Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke hivyo you never know with politics, everything is possible!.

Paul Makonda kanyaga mwendo, chapa kazi, kazi iendelee!.
Paskali.
 
Back
Top Bottom