Mayai yangu yanaliwa jamani

am a girl

JF-Expert Member
Nov 1, 2016
748
504
Nina kuku wa kienyeji wachache lakini kila wakitaga mayai yanaliwa na sijui nani anayala.

Nimeziba matundu makubwa makubwa yote bandani lakini bado,inaweza kua nyoka?? Au mnyama gani mdunchu mwenye anaweza kupenya kwenye matundu madogo?

Nifanye nini kumdhibiti mnyama/mdudu huyo jamani napata hasara.
 
Wadudu wamechimba mahandaki wanaingia bandani wakitokea ardhini.
Bandarini wizi ni vilevile
scanners hazifanyi KAZI
Muhimbili MRI na CT scan havifanyi KAZI
Kila sehemu upigaji unaendelea kama kawa
Flow meters hazifanyi KAZI bado.
Hatari sana
 
Mkuu next time fanya hivi fuga mbwa atakusaidia kuondoa hao jamaa. Niliwahi kupata tatizo kama lako nilichokifanya nakiona na kina mafanikio leo hii, Nilichukua mbwa mdogo Germany sherpard nikamchanganya na kuku(nilijenga banda lake ndani ya banda la Kuku as times goes mbwa akaja akawa rafiki wa kuku hivyo mayai nayaona hakuna kicheche wala nini kwangu.
 
Duh gharama ya mbwa tena
 
Weka picha ya mayai badani.kuna mwingine alisifia papai na akaweka picha ya Dada anaangalia papai tukaelewa maana ya papai halisi alilomaanisha
 
Havihusiani,huyajui mayai ww?
 
Mkuu next time fanya hivi fuga mbwa atakusaidia kuondoa hao jamaa. Niliwahi kupata tatizo kama lako nilichokifanya nakiona na kina mafanikio leo hii, Nilichukua mbwa mdogo Germany sherpard nikamchanganya na kuku(nilijenga banda lake ndani ya banda la Kuku as times goes mbwa akaja akawa rafiki wa kuku hivyo mayai nayaona hakuna kicheche wala nini kwangu.
Mbwa asili mayai
 
Nina kuku wa kienyeji wachache lakini kila wakitaga mayai yanaliwa na sijui nani anayala.

Nimeziba matundu makubwa makubwa yote bandani lakini bado,inaweza kua nyoka?? Au mnyama gani mdunchu mwenye anaweza kupenya kwenye matundu madogo?

Nifanye nini kumdhibiti mnyama/mdudu huyo jamani napata hasara.
Mara nyingi huwa anakuwa nyoka sasa chukua mayai mawili yachemshe hadi yaive kisha toa mayai mengine yote humo ndani alafu yaweke hayo uliyo chemsha kama ni nyoka akifika atayameza hayo mayai lakini yatamshinda kupasua akisha yameza atakufa!
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom