am a girl
JF-Expert Member
- Nov 1, 2016
- 748
- 504
Nina kuku wa kienyeji wachache lakini kila wakitaga mayai yanaliwa na sijui nani anayala.
Nimeziba matundu makubwa makubwa yote bandani lakini bado,inaweza kua nyoka?? Au mnyama gani mdunchu mwenye anaweza kupenya kwenye matundu madogo?
Nifanye nini kumdhibiti mnyama/mdudu huyo jamani napata hasara.