Mayai ya kienyeji /vifaranga wa kienyeji

LAT

Lucina (Leucaena) ninayosema ni tofauti na hiyo. jaribu ku-google uone

"Animal production
Leucaena is well known for its high nutritional value and for the similarity of its chemical composition with that of alfalfa (Table 2.1.3). However, leucaena forage can be low in sodium and iodine, but is high in b -carotene. Tannins in the leaves and especially the stems of leucaena reduce the digestibility of dry matter and protein but enhance the 'bypass' value of protein.
Digestibility and intake values for leucaena range from 50 to 71% and from 58 to 85 g/kg[SUP]0.75[/SUP] liveweight respectively (Jones 1979). The lower values were suggested by Jones (1979) to-be associated with the effects of mimosine on intake when pure diets of leucaena were fed.
Animal production on leucaena based pastures is excellent. In southeast Queensland, cattle on leucaena/setaria pastures gained between 310 and 430 kg liveweight/ha, approximately twice that obtained from siratro (Macroptilium atropurpureum)based pastures in the same environment (Jones and Jones 1984). In low frost environments, leucaena foliage can be heldover for feeding in the cool or dry season providing valuable high protein feed during stress periods for grazing ruminants. Under ideal growing conditions under irrigation on the fertile alluvial plains of the Ord River valley, leucaena/pangola (Digitaria decumbens)pastures produced annual liveweight gains of 273 kg/head or 1422 kg/ha at a stocking rate of 6 weaner steers/ha (Davison 1987). In central Queensland, on fertile clay soils, cattle are gaining 300 kg liveweight per head per year on leucaena pastures.
Table 2.1.3. Comparative compositions of alfalfa (Medicago saliva)and Malawi-grown leucaena (NAS 1977).
(a) General compositor
Leucaena leaf
Alfalfa leaf
Total ash (%)
11.0
16.6
Total N (%)
4.2
4.3
Crude protein (%)
25.9
26.9
Modified-acid-detergent fibre (%)
20.4
21.7
Calcium (%)
2.36
3.15
Phosphorus (%)
0.23
0.36
b -carotene (mg/kg)
536.0
253.0
Gross energy (kJ/g)
20.1
18.5
Tannin (mg/g)
10.15
0.13
(b) Amino acid
Leucaena
Alfalfa
Arginine (mg/gN)
294
357
Cysteine (mg/gN)
88
77
Histidine (mg/gN)
125
139
Isoleucine (mg/gN)
563
290
Leucine (mg/gN)
469
494
Lysine (mg/gN)
313
368
Methionine (mg/gN)
100
96
Methionine + cysteine (mg/gN)
188
173
Phenylalanine (mg/gN)
294
307
Threonine (mg/gN)
231
290
Tyrosine (mg/gN)
263
232
Valine (mg/gN)
338
356
 
@RITE

mkuu ... ndiyo hiyo hiyo ninayohitaji ..

je ninaweza wapi kupata mbegu ya majani haya ya Lucine (Leuceana)

natanguliza shukrani
 
Heshima mbele RETI.

Mimi nataka kufuga kuku wa kienyeji kwa kufata mchanganuo wa kuanza na kuku jike 5 na jogoo mmoja kama ilivyo elezewa kwenye topic moja umu jf,nachotaka kufanya kama jamaa alivyo sema kuwa kuku wanaweza taga adi mayai 30 mimi niyachukue afu nitotoreshe kwenye mashine ilinipate vifaranga alaka afu wale waendelee kutaga tena baada ya muda mfupi.

Nachotaka.
1 jinsi ya kutunza mayai na yanaweza kaa kwa muda gani
2 mahari napoweza totoresha mayai na gharama yake
3 kama naweza kukutembelea nikaona jinsi unavyo fuga.

Mayai mazuri kwa mbegu:
1.Yasizidi wiki moja tangu kuanguliwa (kwa joto hili la kawaida, kama ni wiki mbili basi ni lazima yahifadhiwe ktk chumba chenye baridi.)
2.Kuna mahali pale magomeni
3.Tunaweza kusaidiana na kuelimishana zaidi

Barikiwa
 
Kwa anayejua mtu anayefanya biashara ya dagaa wa kuku tafadhali naomba anisaidie. Nahitaji dagaa, mashudu & mahindi kwa ajili ya mifugo
 
LAT

Lucina (Leucaena) ninayosema ni tofauti na hiyo. jaribu ku-google uone

"Animal production
Leucaena is well known for its high nutritional value and for the similarity of its chemical composition with that of alfalfa (Table 2.1.3). However, leucaena forage can be low in sodium and iodine, but is high in b -carotene. Tannins in the leaves and especially the stems of leucaena reduce the digestibility of dry matter and protein but enhance the 'bypass' value of protein.
Digestibility and intake values for leucaena range from 50 to 71% and from 58 to 85 g/kg[SUP]0.75[/SUP] liveweight respectively (Jones 1979). The lower values were suggested by Jones (1979) to-be associated with the effects of mimosine on intake when pure diets of leucaena were fed.
Animal production on leucaena based pastures is excellent. In southeast Queensland, cattle on leucaena/setaria pastures gained between 310 and 430 kg liveweight/ha, approximately twice that obtained from siratro (Macroptilium atropurpureum)based pastures in the same environment (Jones and Jones 1984). In low frost environments, leucaena foliage can be heldover for feeding in the cool or dry season providing valuable high protein feed during stress periods for grazing ruminants. Under ideal growing conditions under irrigation on the fertile alluvial plains of the Ord River valley, leucaena/pangola (Digitaria decumbens)pastures produced annual liveweight gains of 273 kg/head or 1422 kg/ha at a stocking rate of 6 weaner steers/ha (Davison 1987). In central Queensland, on fertile clay soils, cattle are gaining 300 kg liveweight per head per year on leucaena pastures.
Table 2.1.3. Comparative compositions of alfalfa (Medicago saliva)and Malawi-grown leucaena (NAS 1977).
(a) General compositor
Leucaena leaf
Alfalfa leaf
Total ash (%)
11.0
16.6
Total N (%)
4.2
4.3
Crude protein (%)
25.9
26.9
Modified-acid-detergent fibre (%)
20.4
21.7
Calcium (%)
2.36
3.15
Phosphorus (%)
0.23
0.36
b -carotene (mg/kg)
536.0
253.0
Gross energy (kJ/g)
20.1
18.5
Tannin (mg/g)
10.15
0.13
(b) Amino acid
Leucaena
Alfalfa
Arginine (mg/gN)
294
357
Cysteine (mg/gN)
88
77
Histidine (mg/gN)
125
139
Isoleucine (mg/gN)
563
290
Leucine (mg/gN)
469
494
Lysine (mg/gN)
313
368
Methionine (mg/gN)
100
96
Methionine + cysteine (mg/gN)
188
173
Phenylalanine (mg/gN)
294
307
Threonine (mg/gN)
231
290
Tyrosine (mg/gN)
263
232
Valine (mg/gN)
338
356

Mkuu mbegu ya haya majani naweza pata wapi
 
Kwa anayejua mtu anayefanya biashara ya dagaa wa kuku tafadhali naomba anisaidie. Nahitaji dagaa, mashudu & mahindi kwa ajili ya mifugo

Mkuu dagaa, kwa kuanza waweza jaribu kariakoo shimoni mi huwa nachukua huko but ukipata sehem nyingine njuze na mimi
Mashudu nackia manzese
 
Asante, Kariakoo bei yao kwa kilo ni sh. ngapi maana naona bei yao ni juu. Manzese huwa ndo nanunua pumba ila mashudu sijawahi ona manzese labda nijaribu ku-check vizuri.
Kuhusu hizo mbegu labda nikufanyie mpango wa kuzipata
 
Kariakoo huwa nanunua ule unga ambao unachujwa kutoka dagaa na ndo wanauza mitaani kwa sh 500 kwa kilo. kuhusu mbegu nitashukuru kaka. Ngoja nitakuulizia specificaly ni wapi mashudu yapo coz huwa namtuma kijana wangu kununua
 
Asante kwa maelezo yako ila nashangaa hawa kuku unawaita ni wa kienyeji au hybrid au wakisasa kabisa?
nauliza kwasababu naona aina ya chakula unachowalisha ni cha kuku wa kisasa chenye uwezo wa kuwafanya watage hata bila ya kupandwa na jogoo hivyo ni vyakula maalum kwa layers na very expensive....
labda niwe nimekuelewa vingine lakini kuku wa kienyeji asilia zaidi ya nafaka na protini na madini mengine haitaji hormones za kumfanya atage kwani kwao ni asili yao baada ya kupandwa na jogoo, kama binafsi umeshindwa kuchanganya chakula tu chenye viine lishe maalumu kwa kuku sio lazima uwalishe layers mash.
Ninapata hisia kuwa hawa ni wa kisasa na iwapo mtu akiwanunua na kufanya zero grazing sijui kama wata survive wakati kwa wa kienyeji na hybrid ingewezekana mradi wanaongezewa vyakula vinavyopungua ktk mazingira yao.
Ndio maana watu wanaulizia ni breed gani, taja hata hizi locals ili tujiridhishe kuwa ni kuku wa aina gani unaouza. Asante

Kwa experience yangu, kuku wote wana uwezo wa kutaga mayai hata bila jogoo wakila chakula chochote kiwe cha asilia au cha kiwandani ila tofauti ni katika mayai yatakayotagwa. Wenye jogoo yatakuwa na kiini kilichorutubishwa na mbegu ya jogoo (fertilization) ambayo yanakuwa na uwezo wa kuanguliwa na yale yanayotagwa bila jogoo ambayo hayajarutubiswa kwa mbegu za jogoo na hayana uwezo wa kuanguliwa. Hakuna chakula kinachomsababisha kuku atage. Hata kuku wa kienyeji asipokuwa na jogoo atataga tu ila hatakuwa na uwezo wa kuangua na hao wa kisasa vilevile wakipandwa na jogoo wana uwezo wa kutaga na yanaweza kuanguliwa kama kawaida
 
ni kweli mkuu kuku yeyote ana uwezo wa kutaga, ila hawa wa kisasa hata wakiwa na jogoo inakuwa tabu kidogo
 
Mimi nilijaribu kuweka majogoo kama saba hivi kwenye banda lenye majike sabini wa mayai nilipoyaweka hayo mayai yalikuwa yanaangua tu. Ila kama unafanya hivyo jitahidi kuwapa majani kwa wingi na virutubisho vingine ambavyo kuku wanaotembea nje huwa wanavipata kama wadudu na madini kama chokaa ili ganda la yai liwe gumu na kiini kiwe bora.
 
ok, vipi hicho kizazi ni endelevu kweli? maana niliwahi zungumza na reseacher mmoja akanieleza hivyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom