Mayai ya Bundi.

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,025
Nilikuwa nafanya topographical survey katika pori moja maeneo ya Ifunda-Iringa kwa ajili ya ku-establish stone quary kwa ujenzi wa Iringa-mafinga highway,msaidizi wangu alimkurupua bundi kutoka kiota chake na akafanikiwa kutwaa mayai yake mawili.

Ninavyojua mimi mayai haya ni bonge la dili endapo mtu ana bonge la kesi isiyokuwa na dalili ya kuisha yaani hata kama ulimbaka mtoto wa rais au mauaji,kesi inafutwa faster faster bila maswali na unaachiwa huru.

Au kama unataka utajiri pia yanafaa na huwa hayapatikani kizembe.Najua wengi mtaponda lakini kuna wale wanaoyahitaji watani-PM sasa hivi,nakaribisha request zenu.

mme wangu ananidunda dailyy....pls gve mayai to me nile nipate nguvu nianze KUMDUNDA YEYE..

kwa bei yeyote kwa dola au paund nipo readyyyyyyy...wewe tu...

kuna mtu namdai hataki kunilipa....nadhani nahitaji yai...ni sh ngapi?

Ukilipata ndio unafanyaje? Toa elimu ili wajasiriamali tuingie mzigoni kusaka mayai ya bundi !!!!!!!!!!!!!

Hahahaaah!mi sijui wanalifanyaje,ila ukilipata we mpeleke kalumanzila atamaliza mchezo wote!

....si ungeyachukua wewe utoke kwenye hilo lindi la umaskini ulionao?kwanza mrudishie msaidizi wako,kwa nini umemnyang'anya?

Ya bundi kazi kupata.! Kula yai Viza bichi then mfuate huyo mdeni wako atakulipa fasta.

unampiga nayo....? au ndio unayapiga mwenyewe halafu unaenda kumwambia neno tu alafu anajukuta anakupa..?

mmmh...nchi hii kwa kuchakachua....nikisema hapa hakawii kutokea babu wa mayai ya bundi....akaaa....

Yote hayo ya mayai ya Bundi ni IMANI tu na ndiyo inawagharimu Ndg ze2 kwa 55%

mme wangu ananidunda dailyy....pls gve mayai to me nile nipate nguvu nianze KUMDUNDA YEYE..

kwa bei yeyote kwa dola au paund nipo readyyyyyyy...wewe tu...

NJOO kwangu rose1980 kama anakudunda huyo hakupendi, mi nakupenda sana wewe basi tu naonaga aibu kukuambia

Nilikuwa nafanya topographical survey katika pori moja maeneo ya Ifunda-Iringa kwa ajili ya ku-establish stone quary kwa ujenzi wa Iringa-mafinga highway,msaidizi wangu alimkurupua bundi kutoka kiota chake na akafanikiwa kutwaa mayai yake mawili.

Ninavyojua mimi mayai haya ni bonge la dili endapo mtu ana bonge la kesi isiyokuwa na dalili ya kuisha yaani hata kama ulimbaka mtoto wa rais au mauaji,kesi inafutwa faster faster bila maswali na unaachiwa huru.

Au kama unataka utajiri pia yanafaa na huwa hayapatikani kizembe.Najua wengi mtaponda lakini kuna wale wanaoyahitaji watani-PM sasa hivi,nakaribisha request zenu.

Usipotoshe watu bana........... Bundi hatagi, bali anazaa.............

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom