Mayai ya Bundi ni zaidi ya dhahabu

Habari zenu!

Naomba leo nitoe ushuhuda hapa jukwaani. Kwanza nipende kutoa shukurani kwa Mwenyezi Mungu kwa kuendelea kuniweka hai kwani wengi Sana walitani kuishi ama kupata bahati Kama yangu lakini hajaweza kupata...
Mkuu ni bundi wa nchi yoyote tu au hawa bloirer hawahitajiki??
 
Kama unaweza kuyapata mzee fanya kuyasaka cku utakuja unishukuru

Yapo sio kwamba hayapo, hadi watoto wake Maana wana tabia ya kutagia pamoja wengii kwenye mapango,

nikiyapata naenda kuuza wapi ? ndo niite serikali kama leizer wa tanzanite niwauzie
 
  • Kicheko
Reactions: rr3
Habari zenu!

Naomba leo nitoe ushuhuda hapa jukwaani. Kwanza nipende kutoa shukurani kwa Mwenyezi Mungu kwa kuendelea kuniweka hai kwani wengi Sana walitani kuishi ama kupata bahati Kama yangu lakini hajaweza kupata...

Yai la popo je halina thamani??
 
Yapo sio kwamba hayapo, hadi watoto wake Maana wana tabia ya kutagia pamoja wengii kwenye mapango,

nikiyapata naenda kuuza wapi ? ndo niite serikali kama leizer wa tanzanite niwauzie
Kama unayo naomba uje pm
 
Utasababisha watu wavunjike miguu kwa kupanda miti mikubwa mkuu 10m ya kenya ni karibia milioni 260 ya bongo wewe hiyo 16m ilikuajekuaje?
Sasa si tuligawana na mtu aliye nipeleka kwa mnunuz
 
Mh!
JamiiForums1148106749_680x424.jpg
 
Back
Top Bottom