Mayai ya Bata bukini yanatotolewa baada ya muda gani kwenye Incubetor?.

mkuu hawa Bata life span yao ni miaka 20-25 na pili hawaugui magonjwa yoyote.
tatizo bei iko juu sana ndio maana mdau kakimbilia kununua mayai na nyie wataalamu mnasema kupitia machine hayata totolewa......inamaana kifaranga cha siku hakipatikani hata kwa buku 20
 
Mob mbona mimi swali langu haunijibu mkuu? Nauliza kama naweza pata vifaranga vya bata mzinga au makinda na bei itakuwaje?
 
mkuu bata mzinga nitakuuzia wenye umri wa miezi sita kwa elfu 80 bata bukini ukija ukiwaona tunaweza ongea bei mkuu karibu sana nicheki inbox.Sipokei hela bila wewe kuridhika na bidhaa biashara nafanyia shamba.Nauza bata ambao hawana uhusiano wa uzao mmoja ( hii ni kwa ajili ya kuimarisha uzao wao na kupata mbegu bora)
 
Mkuu Mimi sina utaalamu Wa kukuinbox please nielekeze au nicheki kwa namba 0713184857
 
tatizo bei iko juu sana ndio maana mdau kakimbilia kununua mayai na nyie wataalamu mnasema kupitia machine hayata totolewa......inamaana kifaranga cha siku hakipatikani hata kwa buku 20
mkuu hawa bata ni wazuri kama nilivyosema mwanzoni life span yao ni 20 years nimeanza kuwafuga hapa dar since 2011 hakuna hata mmoja aliyewahi kufa na hawana magonjwa.Ninachofanya mimi huwa nawatunza then nahakikisha hakuna uzao mmoja yani pair moja wanapandana na hii inasaidia kupata mbegu nzuri na bata wenye afya.usiogope bei tuwasiliane tunaweza ongea na kukubaliana kwa kila mtu kuridhika.Sasa wako vifaranga wenye umri wa miezi miwili mwezi moja na wako wa week mbili.Ila ushauri wangu ni bora ukachukua wakubwa
 
hauwezi kupata kwa hiyo bei..
 
ok ndugu hao vifaranga wa miezi miwili unawauzaje? na kwa dar uko pande zipi mkuu
 
Nimenunua mayai 10 ya bata Bukin nitaka nipekeke yakatotolewe kwenye incubetor ila sijajua yatatotolewa kwa mda gan naomba kama kuna anayejua anifahamishe.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

upload_2016-8-17_11-7-57.png
 
mkuu karibu ukitaka waanguliwe usiyaguse hayo mayai waache watage walipotaga na waangue hapo hapo.Karibu mkuu usikate tamaa mkuu nilipoanza nilikaa miaka miwili bila kifaranga then ndo nilivyoanza kuwalisha inavyotakiwa na kuwa karibu nao wanataga vizuri sana. Once Again karibu sana
Mkuu mie nao bata bukini dume mmoja majike wawili naomba msaada hao bata wameisha taga mara mbili lakini cha ajabu mayai yote yanakuwa hayana mbegu nifanyeje nao sasa miaka miwili.
 
Mkuu hebu badili jogoo wao then hakikisha umeweka nyasi za kutosha wanapoanza kutaga mkuu maana wanapenda kufunika mayai yao
 
Back
Top Bottom