Mayahudi wa Ethiopia waliorubuniwa kwenda Israel wapiga "takbir" waendelea kulalamikia unyanyasaji

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,839
17,437
Mayahudi wa Ethiopia waliorubuniwa kwenda Israel wapiga "takbir" waendelea kulalamikia unyanyasaji
Jul 06, 2019 10:58 UTC
Mayahudi wa Ethiopia maarufu kwa jina la Mafalasha, waliorubiniwa kwenda katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni, wanaendelea kufanya maandamano ya kalalamikia unyanyasaji na ubaguzi wanaofanyiwa na Wazayuni.
Kwa mujibu wa shirika la habari la IRNA, Waethiopia hao wamepiga mayowe na nara dhidi ya viongozi wa utawala wa Kizayuni, bali wengine hata wamepiga "takbir" katika maandamano hayo.
Jumapili iliyopita pia, maelfu ya Mayahudi wa Ethiopia walifanya maandamano ya kulaani kitendo cha polisi wa utawala wa Kizayuni kumuua kidhulma kijana mmoja wa Kifalasha aitwaye Solomon Teka.
Maandamano hayo makubwa yaliyoambatana na fujo yalifanyika katika miji ya Tel Aviv, Hayfa, Ashdod na Ashkelon. Watu 60 walitiwa mbaroni na maafisa usalama wa Israel wakati walipokandamiza kikatili maandamano hayo.
Wakati huo huo, gazeti la Kizayuni la Yedioth Ahronoth limeandika kuwa, Mayahudi wa Ethiopia wametishia kuwa leo Jumamosi pia watakusanyika katika medani kubwa zaidi ya mji wa Tel Aviv ili kutaka kisasi cha kuuliwa kijana huyo mwenye asili ya Ethiopia, na jeshi la polisi la Israel.
Mayahudi wa Ethiopia maarufu kwa jina la Mafalasha, ni miongoni mwa makundi maskini zaidi ndani ya utawala wa Kizayuni wa Israel. Mayahudi hao walirubuniwa kuacha makazi yao huko Ethiopia na kwenda kwenye ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu kwa tamaa ya kupata maisha mazuri. Hata hivyo wananyanyaswa na kubaguliwa sana na wanahesabiwa kuwa ni raia wa daraja la tatu wa utawala wa Kizayuni.
Tags
UTAWALA WA KIZAYUNI ETHIOPIA Kijana wa Kifalasha, Myahudi wa Ethiopia, Solomon Teka aliyeuliwa kikatili na polisi wa Israel 
Kijana wa kike mwenye asili ya Ethiopia akiwa na picha ya kijana wa Ethiopia aliyeuliwa kikatili na polisi wa Israel. Maandishi yana maana isemayo, maisha yangu yana thamani
si kitu cha bure
4bsj96bbfb74bd1gaog_800C450.jpeg
 
Kuna makundi mawili ya wayahudi ndani ya nchi ya Israel yamewekwa daraja la chini. Wayahudi wa sephardic na Wayahudi Mafalasha hawa wamewekwa chini kabisa kuanzia kwenye huduma za jamii na mambo mengineyo.

Jamii ya Wayahudi ambao wananeemeka sana na Israel ni Ashkenazi. Hawa inabidi waoane wao kwa wao. Akitoka akienda kuoa jamii nyengine ya Kiyahudi thamani yake inashushwa chini na serikali ya Israel kwenye mgawanyo wa huduma za jamii.

Na Ashkenazi jews siyo kizazi cha Ibrahim bali ni uzao wa jamii ya Turk, na mfalme wao aliitwa Bulan Kaghan. Na tafiti nyingi za DNA zinaonesha Ashkenazi jews hawana hata chembe ya uhusiano na Wayahudi waliyozungumziwa kwenye vitabu vya dini.
 
Hivi kwanini Mossad ilifanyaga operation ya kuwaokoa wale black jews from Ethiopia wkt inajua inaenda kuwa treat kama low class huko israel mkuu?

si kitu cha bureView attachment 1148405
Taifa teule,linawatesa wateule wenzao.
 
Toka lini wayahudi wakawa weusi acha wagongwe bado unaitwa fala na unajifananisha na wazawa.
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom