May mosi-mheshimiwa asema baamedi,kuchoma mishkaki,kusukuma tololi hupunguza tatizo la ajira

kapera

Member
Feb 15, 2011
23
6
mheshimiwa jana kwenye mei mosi kasema mikakati ya kuongeza ajira kuwa ni.
kuongeza makontena ya grosary ili kuajili mabaamedi wengi,wachoma mishkaki na wasukuma tololi,je hizi nndizo ajira wanazofanya watoto wao?
 
Nami nilishangaa aliposema malengo ya kuajiri watu laki moja yalitimia hadi kifikia laki moja na laki tatu. Alipofafanua kuwa ajira hizo ni pamoja na kuungua vizibo vya bia na kuchoma ndafu nikachoka. Labda wataalamu wa mambo ya ajira wanaweza kutusaidia kama kweli ndizo ajira walizoahidiwa watanzania.
 
huyo mheshimiwa yuko na fustruations maana siku hizi anaongea kama zuzu,hakuna point,kama vile alikuwa usingizini ndio anaamka,
aliwazalo mjinga ndilo analolisema........they are planting seeds for their own distruction, ukitaka kumwongoza mtu mwache awe mjinga akijua humpati............sasa vyuo vingi wasomi wengi ....... ?
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom