Fabian the Jr
JF-Expert Member
- Aug 4, 2012
- 756
- 738
Habari zenu wandugu, Naomba kwa mwenye uelewa anisaidie kati ya mashine tajwa hapo juu ni ipi nzuri. Sehemu ninapotaka kuiweka concern kubwa ni LUKU customers maana sio mjini sana. Naomba mwenye uelewa anisaidie kufahamu ni ipi nzuri in terms of:-
1. Commision
2. Mtandao
Ahsanteni
1. Commision
2. Mtandao
Ahsanteni