Maxmalipo hili nalo jipu

mwalidebe

JF-Expert Member
Mar 27, 2016
425
248
Sioni umuhimu wa kuuza mashine ya maxmalipo badala yake ni vema muhusika anayehitaji mashine atozwe hela ya mtaji tu!
Mtu anapo hitaji mashine ya maxcom lengo ni kutoa huduma kama vocha na malipo mbalimbali kwa maana wewe unaenda kuwasaidia watu mauzo tigo voda dstv n.k sasa iweje uuziwe mashine ?
 
Wanauza mashine za EFD na karatasi zake halafu wao hawatumii, maximalipo kijitonyama ni jipu, nilienda kununua EFD machine kwa kuwa nililipa kwa cheque wakaniambia hawaezi kunipa receipt ya TRA mpaka hapo watakapo hakikisha imeingia, so nikawapa one week kwenda kufata receipt wananizungusha, hata hizi karatasi zao kwa ajili ya EFD wanauza 2,000 hawatoi receipt za TRA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom