Maximum speed for Kenya's SGR will be 110 km/h and not 120km/h as earlier quoted

Which ground are you talking about? Have you even stepped your foot in Kenyan soil?
Hivi wewe unazani kila mtu ni kama wewe.. Wakenya wengi wa JF hamjatoka njee ya Kenya, jinsi mnavyo ona mtu kuja Kenya ni ishu kubwa huwa mnanishangaza sana. Kenya nime kuja na kuzunguka, tena siyo Nai tu kama unabisha wewe bisha. Ila hiyo SGR yenu sijawahi ipanda ila ninapata story zake first hand kutoka kwa watu wanao itumia. Wengine wanasema ni less than 100km/hr.
 
SGR yenu mwendokasi wake kwa Sasa ni 0km/hr😂😂😂 kanusha kwa kuweka video au picha za operational burret train na sio ndani ya cabin bali nje tuione Hadi Reli yenyewe.
 
SGR yenu mwendokasi wake kwa Sasa ni 0km/hr kanusha kwa kuweka video au picha za operational burret train na sio ndani ya cabin bali nje tuione Hadi Reli yenyewe.
Na wewe tuma picha ya akili yako ikiwa operational! Sio njee, bali ndani tuone kama uko timamu.
 
Hahaha eti 240 km/hr. Kwani ni bullet train? Msitubebe kama watoto
Uenda yule mchina aliyewaita stupid monkey alikuwa MTU mwema Kwa wakenya hivyo aliona uchungu juu vile mnadhulumiwa Kwa kujengewa reli chakavu Kwa bei ya bullet treni
 
Na wewe tuma picha ya akili yako ikiwa operational! Sio njee, bali ndani tuone kama uko timamu.
stroem_hjerne.jpg

Imekuingia Hadi kwa mfupa... I love it 😂😂😂
 
Back
Top Bottom