thisdayes
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,610
- 4,557
Hivi wewe unazani kila mtu ni kama wewe.. Wakenya wengi wa JF hamjatoka njee ya Kenya, jinsi mnavyo ona mtu kuja Kenya ni ishu kubwa huwa mnanishangaza sana. Kenya nime kuja na kuzunguka, tena siyo Nai tu kama unabisha wewe bisha. Ila hiyo SGR yenu sijawahi ipanda ila ninapata story zake first hand kutoka kwa watu wanao itumia. Wengine wanasema ni less than 100km/hr.Which ground are you talking about? Have you even stepped your foot in Kenyan soil?