joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,613
Wala hakutakuwepo na SGR ya Kampala Malaba, Kenya haitojenga kipande cha Kisumu to Malaba, badala yake watatumia bandari ya Kisumu kufikisha mizigo ya Uganda na South Sudan. Kenya wakifikisha SGR Malaba, watakuwa wanainyima mizigo bandari ya Kisumu ambayo uhai wake unatigemea kupokea mizigo toka bandari ya MombasaNimeona pia electric SGR ya Uganda itakuwa 100 km/hr kwa 120km/hr according to there design. Kuna sehemu TZ itafika hadi 240km/hr