Maximum speed for Kenya's SGR will be 110 km/h and not 120km/h as earlier quoted

joto la jiwe

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Messages
10,506
Points
2,000
joto la jiwe

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2017
10,506 2,000
Nimeona pia electric SGR ya Uganda itakuwa 100 km/hr kwa 120km/hr according to there design. Kuna sehemu TZ itafika hadi 240km/hr
Wala hakutakuwepo na SGR ya Kampala Malaba, Kenya haitojenga kipande cha Kisumu to Malaba, badala yake watatumia bandari ya Kisumu kufikisha mizigo ya Uganda na South Sudan. Kenya wakifikisha SGR Malaba, watakuwa wanainyima mizigo bandari ya Kisumu ambayo uhai wake unatigemea kupokea mizigo toka bandari ya Mombasa
 
Geza Ulole

Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2009
Messages
18,994
Points
2,000
Geza Ulole

Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2009
18,994 2,000
Wala hakutakuwepo na SGR ya Kampala Malaba, Kenya haitojenga kipande cha Kisumu to Malaba, badala yake watatumia bandari ya Kisumu kufikisha mizigo ya Uganda na South Sudan. Kenya wakifikisha SGR Malaba, watakuwa wanainyima mizigo bandari ya Kisumu ambayo uhai wake unatigemea kupokea mizigo toka bandari ya Mombasa
Itakuwa safi sana maana tutakuwa na more room to compete with them!
 
Nichumu Nibebike

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2016
Messages
8,766
Points
2,000
Nichumu Nibebike

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2016
8,766 2,000
Dangote amefunga kiwanda chake cha saruji sababu ikiwa ukosaji wa umeme...Bullet train itatoboa bongo kweli? kaka
Dangote likes to be baby seated. Anapenda vya dezo. Mbona viwanda vingine vinazalisha kwa umeme ule ule na kwa garama zile zile za umeme? If he cant compete on the fair platform, let him close and leave. There are many cement plants in Tanzania lately. More than seven actualy.
 
Tony254

Tony254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2017
Messages
2,756
Points
2,000
Tony254

Tony254

JF-Expert Member
Joined May 11, 2017
2,756 2,000
Nimeona pia electric SGR ya Uganda itakuwa 100 km/hr kwa 120km/hr according to there design. Kuna sehemu TZ itafika hadi 240km/hr
Hahaha eti 240 km/hr. Kwani ni bullet train? Msitubebe kama watoto
 
M

mulisaaa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Messages
6,378
Points
2,000
M

mulisaaa

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2017
6,378 2,000
Wala hakutakuwepo na SGR ya Kampala Malaba, Kenya haitojenga kipande cha Kisumu to Malaba, badala yake watatumia bandari ya Kisumu kufikisha mizigo ya Uganda na South Sudan. Kenya wakifikisha SGR Malaba, watakuwa wanainyima mizigo bandari ya Kisumu ambayo uhai wake unatigemea kupokea mizigo toka bandari ya Mombasa
Lakini hawawezi fikisha reli Kisumu wakashindwa fika Malaba kwani kipande nikidogo sana. SGR inaumuhimu kwa Uganda kuliko Kisumu. Nauwakika wakifika Kisumu lazima ifike Malaba. Tuwe wakweli katika hili.
 
Tony254

Tony254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2017
Messages
2,756
Points
2,000
Tony254

Tony254

JF-Expert Member
Joined May 11, 2017
2,756 2,000
Lakini hawawezi fikisha reli Kisumu wakashindwa fika Malaba kwani kipande nikidogo sana. SGR inaumuhimu kwa Uganda kuliko Kisumu. Nauwakika wakifika Kisumu lazima ifike Malaba. Tuwe wakweli katika hili.
Hahaha leo jiwe baridi amevuliwa nguo mbele ya watu. Infact port ya Kisumu haijakuwa ikifanya Kazi kwa miaka zaidi ya kumi sasa. The port of Kisumu is almost useless to the Kenyan economy.
 
M

mulisaaa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Messages
6,378
Points
2,000
M

mulisaaa

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2017
6,378 2,000
Hahaha leo jiwe baridi amevuliwa nguo mbele ya watu. Infact port ya Kisumu haijakuwa ikifanya Kazi kwa miaka zaidi ya kumi sasa. The port of Kisumu is almost useless to the Kenyan economy.
Kuna mpango wakujenga pia SGR kutoka Tanga to Musoma Port pia hapo SGR yenu itakuwa imepata pigo jingine kubwa
 
NDINDA

NDINDA

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2011
Messages
4,865
Points
2,000
NDINDA

NDINDA

JF-Expert Member
Joined Apr 4, 2011
4,865 2,000
Dangote amefunga kiwanda chake cha saruji sababu ikiwa ukosaji wa umeme...Bullet train itatoboa bongo kweli? kaka
CLOSED to switch to Gas as source of Power to be opened in JUNE.
 
Forum statistics

Threads 1,326,743
Members 509,585
Posts 32,233,230
Top