Maxence Melo: Wamiliki wa JamiiForums ni Watanzania wanaoitumia

Waziri wa sayansi na
technologia aliwahi kusema mmiliki wa jamii forum hafahamiki na alikiri
kuwa mtandao huu umesajiliwa nje ya nchi je mmiliki wa mtandao huu ni
nanii au kinanani

Mnataka kumpeleka mwabepande?
 
Loo! Invisible,,nae anamtafuta? Basi narudisha jembe nyumbani mwaka huu hakuna mvua
=
 
Last edited by a moderator:
Ukishamjua unataka umfanyeje? Kila kitu kinapatikana JF,Sasa mmiliki wa nini? Sidhani kama una nia njema nae!
 
Waziri wa sayansi na technologia aliwahi kusema mmiliki wa jamii forum hafahamiki na alikiri kuwa mtandao huu umesajiliwa nje ya nchi je mmiliki wa mtandao huu ni nanii au kinanani

Mmiliki ni mimi hapa na haujasajiliwa nje wala ndani, enhee, swali jingine!!?
 
Wamiiliki wa JF ni Mwigulu Nchemba, Nape nnauye, Abrahamani kinana, Asharose Migiro, Mzee wa kilimo cha nyanya (Mangula) na yule mwenye sura ya kazi (Wasira).

Ohoooo!Mkuu hizi feki Id ndio hao wanazo?Ishakuwa tabu sasa!Lini Mabwe pande itaanza kuwa bize?Maana hizi post nakama hao ndio wamiliki......!!!
 
Waziri wa sayansi na technologia aliwahi kusema mmiliki wa jamii forum hafahamiki na alikiri kuwa mtandao huu umesajiliwa nje ya nchi je mmiliki wa mtandao huu ni nanii au kinanani

He he heeei!

Mmiliki wa Wazalendo wa Tanganyika ni nani?????
 
Waziri wa sayansi na technologia aliwahi kusema mmiliki wa jamii forum hafahamiki na alikiri kuwa mtandao huu umesajiliwa nje ya nchi je mmiliki wa mtandao huu ni nanii au kinanani

We unatafuta matatizo tu humu,kabla ya kumjua mmiliki tuanze na wewe taja jina lako kamili, kabila lako,kazi yako nk na jinsi unavyoweza kupatikana kirahisi ukishajibu hayo nitakutafutia majibu yako kama huwez hayo masharti koma acha kiherehere kwa taarifa yako jamiiforum ni zaidi ya vile uijuavyo INAPENDWA NA WAZALENDO NA WENGI WAKO SERIKALINI inachukiwa na mafisadi wachache vilaza wana pesa lakini HAWANA JEURI MBELE YA JAMIIFORUMS KWA HIYO JAMII FORUM NI YA KILA MZALENDO kamjibu hivyo aliyekutuma kisha urudishe ripoti kuwa umefuata maagizo yangu.
 
Mmiliki wa 'Waoem' (sio 'Sisiem' wala 'Nyinyiem') ni nani maana nako kuna members kama humu?
 
Back
Top Bottom