Maxence Melo: Neno la shukrani kwa wote

Unapokuwa umekufa unakuwa uhisi maumivu yoyote yale isipokuwa wale wanaokuzunguka. Na ndio kinachotokea ukiwa mjinga na mpumbavu.
acha kufuata mkumbo wa kusifia haramu amini nakuambia hao wote wanaomsfia na kumpamba Melo hawajitambui kabisa
 
Pole mkuu, Mungu atajaalia yatakwisha na haki itachukua mkondo wake na Tanzania na wengi watafaidika na bidii na uhanga uliopitia.
 
Ndugu yetu MaxMelo,
Heshima kwako mkuu.
Niliandika kwene jamvi hapa wakti uko mahabusu kuwa YOU ARE THE HERO OF OUR TIME! I do repeat once again that you're and remain the one!
Kama UN wana Noble Prize ya kumpa mtu aliyesimamia kupaza Sauti kwa jamii yake basi na wakupe sasa. You really deserve it my bro.
We'll keep on praying earnestly for you and let The God Almighty hear my/our prayers!!!!!
Amen&Amen.
 
Kaka pole sana umeeleweka. Yote yatatendwa iwe kwa msukumo wa wenyenacho au wenye mamlaka ila ukweli utatuweka huru.

Ukweli ni zaidi ya ncha ya upanga au risasi. Tusiogope kusema ukweli ikiwa hatumsingizii mtu.

Yesu alifia ukweli, itakuwa aibu na isaliti kwa imani (yangu), na yako kufumbia macho ukweli.

"Nitasema kweli daima, fitina kwangu mwiko."

Balile
 
Pole sana mkuu. Hakika Mungu ni mwema siku zote na penye uongo ukweli hujitenga. Tumepata funzo kubwa kupitia tukio hili. Mbali na funzo kingine ni namna watu waliokuwa hawaifahamu Jf mara baada ya kukamatwa kwako walianza kuifuatilia kwa karibu na kutaka kuna nini maalum kilichomo. Nina hakika hata idadi ya members imeongezeka zaidi.
Karibu kwa mara nyingine mkuu tuendeleze mapambano....we are so proud of you Melo
 
Pamoja sana mkuu...Wengine tupo pamoja nawe kiroho...mungu atakupa ushindi mana upo ktk haki
 
nimefurahi kusoma hili kutoka kwako pole na hongera kwa uvumilivu, nitafurahi zaidi kama nitasoma tena article ya member mwenzetu BEN SANANE

aluta continua
 
Pole sana Max, nakumbuka miaka ya nyuma ulipopata misukosuko kama hii lakini yakapita na Mungu atakupitishia mbali haya ya sasa.
Pamoja bro.
 
Max Mungu ni mwaminifu sana kwa yule ambaye huwatumikia na kuwatetea wanyonge na wenye mahitaji. Kuna mfano mmoja wa biblia. Mwanamama mmoja Tabitha alikuwa mtu wa kutoa msaada kwa akina mama wajane. Alipofariki walilia sana kwa kuwa hapa kuwa na replace yake. Kilio Chao kilimfikia Mungu na akafufuliwa. Tuko pamoja
 
Hamna tatizo mkuu Maxence Melo wala usijali tupo pamoja kwa kila jambo na umejitahidi sanaaa na hongera sanaa tena sanaa na tuliomba haswaaa haki iteendekeee na baada ya kusema tunajuwa mipango na order zote zinazotolewa siku ya pili wakakupeleka mahakamani haraka haraka fatilia vizuri uone nilivyoandika.....kwa hilo mkuu hongera na zaidi niliwapa moyo wana JF wapya maana walikuwa waoga na sikuacha kuwatia moyo maana wengi walikuwa waogaaa nikasema kwajo nakuamini na sio mara ya kwanza kutokeaaaa......

Hongera sanaaa na karibu sanaaa mkuuu
 
Back
Top Bottom