Maxence Melo LIVE ndani ya 'EATV Hot Mix' akiwakilisha JamiiForums

he is so smart kwakweli nlipata muda wa kukaa nae na kuongea nae machache mungu amzidishie ana roho safi kabisa na mcheshi hasa
 
Safi sana Eng maxence kwa hatua ulipotufikisha mm ka Eng mwenzio nakuombea uendelee kukata Mbuga mkuu @FTC00C1
 
Jana napo Le Mutuz alithibitisha kujiondoa/kuondolewa miongoni mwa wamiliki wa JF baada ya kushindwa kuuvumilia ukweli na uwazi ulioko JF,baada ya kuona magamba wanashambuliwa kila kona hii likuwa ni kwenye tuongee asubuhi Star TV
 
Nimerudi tu Mama watoto akaniambia Boss wenu alikuwa anaojiwa............... nikajua lazima kitu kitupiwe humu Big Up Max
 
JF the best FORUM in EAST AFRICA,hakuna kupaka pouda humu,ukileta ubishoo unakula za uso live,
eeeeh ndio maana yake.
 
Mkuu Mkandara @Max hatuwezi mlinganisha na captain Komba
Aaaah mimi nawashangaa tu Wapongo na hizi formula zao. Ukiwa mnene sana mwili umeridhika siku hizi husema mgonjwa anatumia ERV. Mwembamba mwii hairidhiki, siku hizi wanasema kisha ukwaa. Mwenye utajiri wa kubadilisha mboga ni Free Maison au Fisadi sasa imekuwa CCM yaani nachokaa na wabongo! yaani fanya ufanyalo watakutafutia sababu tu na sii nzuri. Mtu mwembamba sijui atakuwa mwanaChadema au?
 
Back
Top Bottom