Maxence Melo: JamiiForums imefanikiwa kujenga Fikra Mbadala kwa watanzania wengi

Msimu wa JPM kafuta nyuzi zetu nyingi sana
Tuweke rekodi sawa kiongozi. Nadhani usipojibiwa kuna watakaoamini tunaonea watu. Nyuzi zako zipi ambazo mimi nilizifuta?

Nakushauri pia usome hii JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala then uje na hizo ambazo zilifutwa (hata kama sio mimi). Hizi chini ni baadhi ya mada zako zilizofutwa wakati wa JPM ila nyingine (kabla hujabadili ID) ulitumia lugha kali sana tunasita kuweka screenshots:

Screenshot 2021-05-31 at 15.52.50.png

Screenshot 2021-05-31 at 15.55.42.png

Sasa, unadhani ulionewa? Tena pengine ulikuwa unahariri mabandiko na kuomba yafutwe!
 
Tatizo ni Buku saba FC hawa vijana ni tatizo mno, na sasa kuna sijui nini gang huko, hawa nao wachachu kama vile wako na mimba changa. Otherwise hongera sana
 
Tuweke rekodi sawa kiongozi. Nadhani usipojibiwa kuna watakaoamini tunaonea watu. Nyuzi zako zipi ambazo mimi nilizifuta?

Nakushauri pia usome hii JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala then uje na hizo ambazo zilifutwa (hata kama sio mimi). Hizi chini ni baadhi ya mada zako zilizofutwa wakati wa JPM ila nyingine (kabla hujabadili ID) ulitumia lugha kali sana tunasita kuweka screenshots:

View attachment 1803620
View attachment 1803621

Sasa, unadhani ulionewa? Tena pengine ulikuwa unahariri mabandiko na kuomba yafutwe!
Umemjibu vyema. Ila yeye kaongelea kiujumla na si mada zake kufutwa. Kiukweli kutokana na sheria kali za mtandao hapa Tanzania mada nyingi zilifutwa hasa hasa zilizokua zinamkosoa mkuu wa nchi au viongozi wa serikali.
 
Tuweke rekodi sawa kiongozi. Nadhani usipojibiwa kuna watakaoamini tunaonea watu. Nyuzi zako zipi ambazo mimi nilizifuta?

Nakushauri pia usome hii JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala then uje na hizo ambazo zilifutwa (hata kama sio mimi). Hizi chini ni baadhi ya mada zako zilizofutwa wakati wa JPM ila nyingine (kabla hujabadili ID) ulitumia lugha kali sana tunasita kuweka screenshots:

View attachment 1803620
View attachment 1803621

Sasa, unadhani ulionewa? Tena pengine ulikuwa unahariri mabandiko na kuomba yafutwe!
Hahahaha hebu pata Wine nakuja hapo Mikocheni kuilipia hio Wine, sio kwa sindano hii aiseee
 
Sijawahi kumsikia huyu Mkurugenzi wa JF, kumbe ni mtu makini kiasi hicho! Ametema madini hatari!!!,
namshauri pia sio vibaya kama atatia nia mwaka 2025, kwani maarifa yake ni muhimu sana ktk kulisukuma taifa letu mbele.
 
Tunachoomba tu msije iuze kwa wenye pesa zao au mkabadilika na kuwa karibu na wenye maamuzi ya nchi hii.
 
Maxence: Ajenda ya kwanza kuwapa sauti vijana
...... vijana.....?
Mimi nilipiga simu 360 weeeeeeee hawakupokea kina PJ ila Mkurugenzi amenifurahisha pale aliposema Mamlaka kuu ilimuita kumsikiliza maoni yake na pale alipozungumzia Issue ya kuanzisha Mkoa wa Chato
ambalo HAKUNIFURAHISHA ni hili la kuwapa sauti vijana na matajiri watatokana na IT
mwisho ni pale P.J. na Kijja binti wa Lindi walipoacha kupokea simu yangu hata sms hawakuisoma ni pale nilipotaka kumuuliza LIVE

Maxence Melo sisi wazee mbona hutaki kuturejeshea Jukwaa (letu la uzee) na umesema huna hofu unapotenda haki Jukwaa lile walishakusHtaki nalo .... ni hayo tu ...............Kija

cc Mshana Jr
 
Max Melo is the toughest dude I know.

Alishawekwa mahabusu baada ya kugoma kutusnitch kuwapa majina yetu halisi ili watushughulikie.

Hands down Mr. Melo.
Jamaa ana roho ngumu sn kutetea watu ambao huwafahamu, angekuwa Paschal Mayalla angetoa hayo majina mapema sn ndiyo maana alisalimu amri mapema akaingia CCM baada ya kubanwa
 
I see ni kweli huyu Msukuma mbona angetuanika wote km vile Facebook, tungekomaje?
Jamani Max kajitahidi na ni roho itakiwayo, kuna kipindi Jukwaa lilikuwa na Michango, halafu kikaja kipindi kigumu miaka karibu minane Kesi na kuwekwa ndani, hapo iilihitajika pesa ndefu na hatukuchanga, sijui hao wa karibu yake
sasa hapo mtu akiuza jina kwa wabaya wa ID fake si utajirisho? lkn jamaa alikomaa hapo namsifu sana Mkurugenzi wetu
 
Tuweke rekodi sawa kiongozi. Nadhani usipojibiwa kuna watakaoamini tunaonea watu. Nyuzi zako zipi ambazo mimi nilizifuta?

Nakushauri pia usome hii JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala then uje na hizo ambazo zilifutwa (hata kama sio mimi). Hizi chini ni baadhi ya mada zako zilizofutwa wakati wa JPM ila nyingine (kabla hujabadili ID) ulitumia lugha kali sana tunasita kuweka screenshots:

View attachment 1803620
View attachment 1803621

Sasa, unadhani ulionewa? Tena pengine ulikuwa unahariri mabandiko na kuomba yafutwe!
Mkuu mimi nakupongeza kwa unachofanya si haba ila angalia upande huohuo wa kufuta nyuzi , Kuna kitu mimi inanitatiza hasahasa jukwaa la siasa ambapo waanzisha mada wanakuwa walewale siku zote Ina maana hamna wengine wenye mawazo mbadala was kuanzisha nyuzi ? Au ndio zinazofutwa ? Mimi namshauri kwa kuwa JF Kuna watu wa aina mbalimbali na weledi mbalimbali watu wengine pia mada zao ziachiliwe zisifutwe tupate , mawazo ,elimu ,teknolojia ,ujuzi , maarifa , mwelekeo kutoka kwa watu tofauti tofauti , sio kila siku mada za akina johnthebaptist , Mayala , ninachosema wadau wengi wapewe nafasi kuanzisha mada tupate maarifa mapya , sio kila siku walewale Tena wanna mwelekeo wa Lumumba , mimi mwenyewe mada zangu nyingi sana hufutwa sawa Kama Kuna mapungufu zifuatwe sikatai lakini inatia shaka , wakati wa Jiwe mada nyingi zilifutwa na Sasa pia pia , hivi na awamu bado ni tishio kwenu . Kuna siku nilioosti kuhusu ajira 6000+ nikaweka attachment ya ilani ya CCM kuzalisha ajira milioni saba ikafutwa shida nini? Mnatishwa vizuri na sisi members tujue , lakini naomba watu wengi wafunguke nyuzi nyingi ziachwe hewani ili tujue mengi, tujifunze mengi kutoka kwa wenzetu sio kila siku walewale . Mimi nimejifunza mengi sana hapa JF ndio napenda watu wengi wapate tupate mengi pia , mawazo yangu tu hayo samahani kama nitakuwa nimekukwaza .
 
I see ni kweli huyu Msukuma mbona angetuanika wote km vile Facebook, tungekomaje?
Jamani Max kajitahidi na ni roho itakiwayo, kuna kipindi Jukwaa lilikuwa na Michango, halafu kikaja kipindi kigumu miaka karibu minane Kesi na kuwekwa ndani, hapo iilihitajika pesa ndefu na hatukuchanga, sijui hao wa karibu yake
sasa hapo mtu akiuza jina kwa wabaya wa ID fake si utajirisho? lkn jamaa alikomaa hapo namsifu sana Mkurugenzi wetu
Nakumbuka siku alihukumiwa watu wakataka kumchangia kumlipia alikataa kabisa
 
Nakumbuka huu uzi wa Meremeta ulipamba moto balaa watu walipiga 3trilion, hoja ikapamba moto kesho yake uzi ukafutwa.
 
Back
Top Bottom