Maxence Melo: Changamoto za Vyombo vya Habari na kukosa Matangazo

Huyo meli mbona kama mtumiaji wa kvant
Unaacha Kujadili Hoja ya Msingi unakimbilia katika Mambo binafsi ya Mtu. Miswahili sijui tupoje....Wewe unavyoshinda 24/7 Kunywa Gongo, Mataputapu na Wanzuki kuna Mtu huwa anakuzuia au hata Kukuingilia? Mnaboa..!!!
 
Ameshauri Vyombo vya Habari kuwa na Mipango Shirikishi (wamiliki wawashirikishe wafanyakazi wao) katika kupanga hatma ya vyombo vyao ili kila mmoja awe sehemu ya safari kuliko mmiliki kuamini yeye anajua sana kuliko aliowaajiri.
Nimepapenda sana hapa, hili linakwenda mbali zaidi, hata serikali inatakiwa kuwashirikisha sana wananchi wake katika kupanga mipango yake ili kuepuka usumbufu unaojitokeza kutokana na maamuzi mabovu ya baadhi ya viongozi wasiojitambua kama ilivyotokea Dar kwa maamuzi aliyotoa Amos Makala
 
Jamani, hatuwezi kuzuia maoni ya wadau kuhusu masuala hayo. Ni advertising policy yetu inayotutaka kutoyapokea matangazo hayo
ndo tushashinda walevi
matangazo tunatangaziana wenyewe
sehemu nzuri za kubeti tunaambiana

yaani kipindi cha kwanza 3 - 0
halafu tumebeti magoli mengi kipindi cha pili na NO GG
na tunakula
 
Unaacha Kujadili Hoja ya Msingi unakimbilia katika Mambo binafsi ya Mtu. Miswahili sijui tupoje....Wewe unavyoshinda 24/7 Kunywa Gongo, Mataputapu na Wanzuki kuna Mtu huwa anakuzuia au hata Kukuingilia? Mnaboa..!!!
Kajinyonge
 
Jamii forum inapokea msaada kisiri kutoka kwa watu wenye malengo yasiyofahamika na hili. Maxence Melo kuliongea kwenye uzi wake mmoja wa kuomba msaada kwa jf users
 
JF ikiingia kwenye umiliki wa hisa(public) basi hiyo sera nayo itakuwa imefika kikomo.
 
Huu uzi ulinipita.
Ila kwa vile nimeudaka binafsi napingana na Melo vikali sana yaani anakataa kulipwa.
 
Back
Top Bottom